Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani

Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz

Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi

Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi

Ficha upumbavu wako
Wewe najua kinachokusumbua endelee kuwa hivyo.
 
Sheikh naona unapanic sana lakini lisemwalo lipo sheikh hata ukibisha vipi hata kuweka mskiti nssf sio udini???dah kwanini dau aandamwe kwani ndio muislam pekee anaeendesha shirika??? Ila sio vibaya apeleke Saudi Arabia au afghanistan kuwa balozi

Sio sahihi kusema kila lisemwalo lipo! Je ikisemwa wewe unauchukia sana Uislam na Waislam maana yake ni kweli mie siamini kama ni kweli ?
 
Sio sahihi kusema kila lisemwalo lipo! Je ikisemwa wewe unauchukia sana Uislam na Waislam maana yake ni kweli mie siamini kama ni kweli ?

Mkuu siwezi kuchukia waislam nachukia wadini labda tuseme na wabaguzi fanya tathmini why dau n not some1 else is he the most muslim tha the others?
 
..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani

Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz

Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi

Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi

Ficha upumbavu wako

Huwa mnabisha hivi hivi baadae mnachutama likitumbuka
 
Unapoleta Uongo JF tofautisha na Ma group yenu ya Wasap. Mara kateuliwa na Kikwete mara Kateuliwa na Mkapa kwa ushauri wa Dr. OMAR na Kitwana Kondo. Kipi sasa kati ya haya mawili mlikuwa Mnasema uongo turekebishe Hansard yetu tuendelee na mjadala?
Kateuliwa na mkapa inajulikana hilo halina mjadala
 
Dr Ramadhan Day ni Balozi katika nchi gani mkuu? Kuwekwa benchi si lazima uambiwe mkuu! Atasugua benchi pale wizara ya mambo ya nje mpaka umri wa kustaafu ufike,
Dau anakula mshahara wa balozi tangu rais alipotangaza kumteua licha ya kwamba hajapangiwa kituo cha kazi.yeye huwa anaenda kuripoti wizarani tu mshahara unaingia.
 
Mkuu siwezi kuchukia waislam nachukia wadini labda tuseme na wabaguzi fanya tathmini why dau n not some1 else is he the most muslim tha the others?
Umesema lisemwalo lipo sasa mbona nimesema unabisha? Kwa hiyo futa usemi wako kuwa lisemwalo lipo. Nilitaka nikufundishe kitu nashukuru umefundishika.
 
Mafisadi wengi huwa na watu wengi sana nyuma siunaona hata Lowasa kila mtu anajua kuwa fisadi lakini kunawatu wako tayari kufa naye wakimtetea.

Mkuuu hata muhongo ni fisadi.ndio mana kila kukicha anatetea IPTL na ana watetezi weng ukiwemo?
 
H
hapo kwenye kampuni ya ulinzi nitakuunga mkono kuna kampuni inayolinda majengo yao inaitwa OPTIMA ni kampuni ambayo haina vigezo vya kuitwa kampuni ya ulinzi kulinda mali za shirika kubwa kama nssf
ÀHx
H
hapo kwenye kampuni ya ulinzi nitakuunga mkono kuna kampuni inayolinda majengo yao inaitwa OPTIMA ni kampuni ambayo haina vigezo vya kuitwa kampuni ya ulinzi kulinda mali za shirika kubwa kama nssf
 
Ushahidi huo una nguvu vijiweni kwenye System ilishafuatiliwa ikagundulika kwenye
1) Management level (Directors hawajafikia 50%) na hata humu Management ya NSSF iliwekwa.
2) Kwenye kazi za kila siku (Operation level) Waislam NSSF ni 41%.
3) Kwenye Zabuni walizopewa Waislam hazifiki 35%
4) Kwenye Corporate Social Responsibility (CSR) na Miradi mingine ya kimaendeleo iliangaliwa pia kama kuna upendeleo kwa maana ya kuangalia maeneo ya Waislam kupewa kipaumbele pia hakuna hilo.
5) Hoja ya kusema hupati Field bila ya kuvaa Hijabu huhitaji kumuuliza Rafiki yako nenda ofisi yoyote ya NSSF halafu omba kuwaona wanafunzi wa Field tazama kama wasichana/Wanawake wote wamevaa hijabu? Tuwe tunajiongeza sometime ni sawa na mimi niende CRDB Azikiwe nione hakuna Binti kwenye Hijabu niende kusema Kimei Mdini. Kuna Waislam wengi wameomba kazi NSSF na wamekosa jee nao walalamikie "Udini" wa Dr. Dau?.
Nakupa [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] mkuu.waambie waamgalie hata management ilivyo tu hakuna haja ya kumuuliza rafiki yako.
 
Hivi huyu Dr. Dau kama ni fisad kiasi hicho kulikuwa na haja gani kumteua kuwa balozi haki ya kuwa watu wana ushahidi wa ufisadi wake? Kama Rais ameweza kuwatumbua watu kibao hadharani sasa anashindwa nini kumaliza mziz wa fitina kwa huyu Dr.?
Sitaki kuamini kuwa huyu mtu ndio fisad namba moja kwa wakuu wa haya mashirika yetu na kama ni uozo basi NSSF inatakiwa kufumukiwa yote, mbona ni jana tu wameshindwa kuwasilisha ripoti nzur na hapo Dr. Dau hayupo walikuwa na kila sababu kuonyesha weled wao baada ya anetuhumiwa kuwa fisad kutokuwepo, ilikuwa muda wao mzur kuonyesha uzur kipindi huyo fisad hayupo. Hebu tusilijadili swala la Dr. Dau kwa misingi ya udini litapoteza maana na kuonekana tuna chuki labda za kidini, hebu tumhukumu Dr. kama tunavyowajadili kina Chenge na wengineo.
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Yeye ina maana hajui kuwa ISO hutoa cheti hiko baada ya ukaguz na kujiridhisha?

Hajui kuwa ISO inabase ktk uhalisia wa kimataifa kisha ndipo hutoa hiko cheti?
Unajua kazi ya washauri elekezi????!!!!
Jinga kabisa eti anadhani cheti hicho kinatolewa kwa kujuana au kifamilia...
 
Dau anakula mshahara wa balozi tangu rais alipotangaza kumteua licha ya kwamba hajapangiwa kituo cha kazi.yeye huwa anaenda kuripoti wizarani tu mshahara unaingia.
Kwa style ya Jpm usijeshaa ubalozi hana. Ya Sefue
 
Back
Top Bottom