Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Hizi za kijiweni ndo nzuri za kumsaidia Magu kutumbua bila kuvaa gloves
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz
Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi
Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi
Ficha upumbavu wako
Porojo. Ninewambia leteni ushahidi kutoka real Madrid kwamba hawana mkataba na nssf. Sitaki mambo ya kuhisia apaAfadhali umejitokeza mwenye kufahamu zaidi haya mambo. Hebu nisaidie, kituo cha michezo cha NSSF kilishaanza kazi? Nina kijana wangu inaonekana ana kipaji cha kusakata kabumbu, nataka nimwombee nafasi kwenye hiyo shule ya michezo ya NSSF. Je ni kweli wakufunzi kwenye hiyo shule wanatoka Real Madrid? Kama ni kweli si mchezo - NSSF watakuwa wamepata hicho cheti cha ISO kihalali. Unaweza kunielekeza ilipo hiyo shule nipate kuitembelea? Kama una contacts zao pia nitashukuru.
Pole sana. Wewe ni Dau mwenyewe? Una argue with such passion!Kitwana Kondo akiwa Mbunge wa Kigamboni anamshauri Makamu wa Rais Hayati Dr. OMAR amwambie Rais Mteue Ramadhani Dau awe DG wa NSSF tena Rais mwenyewe Mkapa!!! HAHAHAH. Baada ya kuwakosoa kuwa Dau hakuteuliwa na Kikwete hapahapa mnabadilika mnakuja na ngonjera mpya japo umesahau kusema Kikwete alimshauri Kitwana kondo amwambie Dr.Omar amwambie Mkapa amteue Dau. Upo radhi kutuaminisha kuwa Mkapa alikuwa Rais karatasi na kusingizia hata mtu aliekufa ili kuonesha tu kuwa alishinikizwa kumteua Dr.Dau!
Sheria anaijua. Huyu si mjingaMtoto wa Kiume haitakiwi kutoa Taarifa za "INASEMAKANA" huo ni Umbea Mkuu. Acha kukaa na dada zako jikoni
Power corrupts, absolute power corrupts absolutely.Ambassador, Dr Dau is a daring personality who elavated NSSF status and Improve members' need. It is so unfortunate, some power hungry, good for nothing individuals who are illusioned enough to think they can fit in his shoes.
They are trying whatever they can to tarnish the image of this God fearing man. All allegations brought forward can only be legitimate only when raised by appropriate authorities, with solid evidence, showing concern that members Fund have been abused. Otherwise, this pure hatred need to stop.
Pole sana. Wewe ni Dau mwenyewe? Una argue with such passion!
Mimi sijui hayo. Ninachojua ni kwamba kuna wakati Kitwana Kondo alikuwa influential sana, sasa hivi wengi watauliza ni nani huyu. Mimi mwenyewe nilifikiri ameshakufa. Rais anawashauri wengi official na unofficial. Ultimately uamuzi ni wake. Akiweka mtu mzuri sifa zitamwangukia, akiwa mtu bomu inabidi abebe lawama.Vipi na wewe unaamini Mkapa alikuwa anateua watu kwa Mapendekezo ya Mzee kitwana kondo? Yaani Mkapa alikuwa kibaraka wa Mzee Kondo?
Porojo. Ninewambia leteni ushahidi kutoka real Madrid kwamba hawana mkataba na nssf. Sitaki mambo ya kuhisia apa
Dawa itawaingia wakituliaHehehe. Tukawaulize Real Madrid kuhusu kituo cha michezo cha NSSF?