Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Hata kama ameiba lakini hili la Iso mtoa uzi itakuwa umepata taarifa kijiwe kwa waswahili.
Mimi ni mmoja wapo ninaye fanya kazi kwenye taasisi ambayo imethibitishwa na Iso hiki ni chombo madhubuti cha kimataifa kinachothibiti ubora na viwango hawezi mtu akaghushi maana ukisajiliwa unakuwa na namba ya uthibitisho.
Kama wangekuwa wameghushi basi wangekuwa wameshtakiwa kwenye vyombo vya kimataifa siku nyingi.
Acheni kuleta story za vijiweni humu hata kama hayo mengine ni kweli uzi wako siuamini tena.
usifikiri ndani ya box tu,unaweza ukawa ni mkakati wa kuitapeli NSSF.Ni hivi,watu wanaweza wakawa walishanusa kuwa nssf itapewa na ISO so wakaingia wahuni wakafanya uhuni kuwa wanaweza fanya magumashi kufanikisha hilo.Wakalmba mkwanja,nchi hii hakuna linaloshindikana,tusikurupuke kupinga tu,tusubiri tupate taarifa kamili.