Imani yake na watu waliofaidi uwepo wake pale si haba
Mara hayo maovu yake yatakapowekwa hadharani wale wote waliofaidi fedha zetu za NSSF kwa kivuli cha Dau watajitokeza na kumtetea kuwa anasakamwa kwa sababu yeye ni muislam; lakini wanasahau kuwa yeye ndio aliyefaidi kutokana na hujuma hizo na wala sio dini yake!! Haya mambo ya udini yanatumika na wajanja kuficha madhambi yao.