Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

Yeye ina maana hajui kuwa ISO hutoa cheti hiko baada ya ukaguz na kujiridhisha?

Hajui kuwa ISO inabase ktk uhalisia wa kimataifa kisha ndipo hutoa hiko cheti?

Jinga kabisa eti anadhani cheti hicho kinatolewa kwa kujuana au kifamilia...
Mkuu mbona unafoka povu saaana,kwani unamaslahi gani na NSSF?
 
Mi naona badala ya ku rule out uwezekano wa NSSF 'kununua' cheti ungemuuliza kuhusu uwezekano huo, dunia hii ina ma lobbyst bwana, hata tenda za kutengeneza silaha USA watu wana lobby itakuwa cheti cha ISO, kuna binadamu wengine wana uwezo kushinda upeo wa fikra zako, mpe mtoa hoja benefit of doubt upate kufahamishwa
Ndio maana wengine wameachia ngazi kwa kunua vyeti necta
 
vipi kuhusu ile kashfa ya udini pale nssf
haina ushahidi unaojitosheleza, si vibaya ukaja na ushahidi wa idadi ya waislamu na wasio waislamu pale nssf. au uantaka kusiwe na waislamu kabisa ndio uone rahaaaa.. acha roho ya mbaya
 
sababu ni nyuzi za kimajungu , BoT watu wanakula mishahra zaidi ya miaka sita lakini magu amelipotezea

Jamani uhusiano wa mshahara wa milion mbili tatu na ufisadi wa dau mabilion ukoje? Dau ni mwizi na magu anajua hilo,hebu type reference ya anachomiliki huyo wa BOT ulinganishe na mijumba ya dau uingereza,upanga,kinondoni na makumbusho
 
Yeye ina maana hajui kuwa ISO hutoa cheti hiko baada ya ukaguz na kujiridhisha?

Hajui kuwa ISO inabase ktk uhalisia wa kimataifa kisha ndipo hutoa hiko cheti?

Jinga kabisa eti anadhani cheti hicho kinatolewa kwa kujuana au kifamilia...
Anayehisi cheti kinatolewa kimagumashi ni Dr.dau aliyempangia tapeli chumba hoteli ghali ili apewe ISO na wala sio mleta uzi...so ficha ujinga na ukuwadi kutetea wezi
 
Imani yake na watu waliofaidi uwepo wake pale si haba

Kuna maghorofa yamesimama sababu ya nafasi aliyoshikilia mtu huyu. Kama ni kwa wema, muungwana amasema abarikiwe....kama ilikuwa hila muungwana pia lazima aseme atumbuliwe.
Nchi yetu tuliikosea heshima na kuihujumu sana.

Bahati mbaya ukisema kitu zamani zile kuhusu NSSF unaambiwa chuki za kidini. Wizi wa mali ya umma haulindwi na dini ya aina yoyote ile.
 
Naomba kuuliza kwa mnaojua, hivi kwanini tuhuma za udini zinamwanda Dr Dau peke yake? Kabla ya Dr Dau kuingia NSSF alikuwepo Bw. Mkulo ambaye pia ni muislam je tuhuma hizi zilikuwepo? Na Dr Dau ndo alikuwa CEO peke muislam kwenye mashirika ya umma hapa nchini?
 
mtoa taarifa hii huna tofauti na wema sepetunga
 
Yeye ina maana hajui kuwa ISO hutoa cheti hiko baada ya ukaguz na kujiridhisha?

Hajui kuwa ISO inabase ktk uhalisia wa kimataifa kisha ndipo hutoa hiko cheti?

Jinga kabisa eti anadhani cheti hicho kinatolewa kwa kujuana au kifamilia...

Be patient...Kila jambo lilifanyika gizani lina wakati wake wa kuonekana mwangani...
 
Back
Top Bottom