Ushauri wa marehemu Dr omary through kitwana kondo
Kitwana Kondo akiwa Mbunge wa Kigamboni anamshauri Makamu wa Rais Hayati Dr. OMAR amwambie Rais Mteue Ramadhani Dau awe DG wa NSSF tena Rais mwenyewe Mkapa!!! HAHAHAH. Baada ya kuwakosoa kuwa Dau hakuteuliwa na Kikwete hapahapa mnabadilika mnakuja na ngonjera mpya japo umesahau kusema Kikwete alimshauri Kitwana kondo amwambie Dr.Omar amwambie Mkapa amteue Dau. Upo radhi kutuaminisha kuwa Mkapa alikuwa Rais karatasi na kusingizia hata mtu aliekufa ili kuonesha tu kuwa alishinikizwa kumteua Dr.Dau!