Dau kubwa lililowekwa na Belouzdad ndilo lililomuondoa Ramovich, naipongeza idara ya habari kuwadhibiti wapotoshaji

Karibu mara zote Simba ndiyo imekuwa inavunja mikataba na makocha na siyo kumuuza kama ilivyotokea kwa Said Kichwa.

Pia unaposema hakuna timu Tanzania ya kumlipa kocha mshahara wa milioni 100, kwani Benchikha alikuwa analipwaje?
Acha upuuzi uwe ukiwa unaandika kitu uwe unajiridhisha kwanza usiwe bendera fata upepo kulishwa matango pori,,Rudi kawaulize vizuri viongozi wako kiasi walichokuwa wanamlipa benchikha!
 
Akuna timu Tanzania inayoweza kumlipa kocha million 100 kwa mwezi izo nyingine uwa ni mbwembwe tu
Kumbe ni kamdomo,, hizi timu bado ni masikini ila sisi mashabiki huwa tunajitoa ufahamu. Tukienda pale Congo tukachukuwa wale wachezaji wa mkopo na magumashi tunajiona ni wakubwa sana. Ila kiuhalisia timu zetu bado sana kwenye suala la kiuchumi. Haya mamb ya kumtegemea MO na GSM hatutafika.
 
Ila ikumbukwe ya kuwa thamani ya millioni 100 huko Algeria sio sawa na ya hapa Bongo.
 
Acha upuuzi uwe ukiwa unaandika kitu uwe unajiridhisha kwanza usiwe bendera fata upepo kulishwa matango pori,,Rudi kawaulize vizuri viongozi wako kiasi walichokuwa wanamlipa benchikha!
Au siyo?
 
Hizo ni hisia zako za kikolokolo siwezi kukukatalia kwa maana mpo wengi wa dizaini yako,,unaleta nujumu na hadithi za kufikirika bila fact!
 
Hapa Nani alipaswa kumchukua kocha wa mwenzake kwa msimamo huu
 
Attachments

  • IMG_6174.png
    865.3 KB · Views: 2
  • IMG_6173.png
    870 KB · Views: 2
Hizo ni hisia zako za kikolokolo siwezi kukukatalia kwa maana mpo wengi wa dizaini yako,,unaleta nujumu na hadithi za kufikirika bila fact!
Hadithi za kutunga wakati nilisema Gamondi anaenda kutimuliwa na nikatoa sababu na ndani ya wiki mbili akatimuliwa.

Nikaja kusema Said Kichwa hafiki siku ya wapendanao, na hili nimelisema zamani sana nalo limeenda kutimia.

Naijua uto kukuzidi wewe unayeishabikia.
 
Akuna unachokijua zaidi ya kurukia rukia mambo ndio maana nakwambia unapoandika kitu usiandike kufurahisha genge,,kwa masndiko yako ayo inaonyesha ulivyo mweupe,,Saed ameondoka kwa makubaliano na vipengele vya mkataba wake vimemruhusu kufanya hivyo na yanga wameridhia,,icho unachokifikiria wewe kichwani mwako ni cha kwako usilete upotoshaji hapa!
 
Huwa tunambiwa hii timu kwasasa Ina pesa, jeuri na kiburi, inaweza kushindana na vilabu vikubwa vya Afrika, imekuaje imeshindwa kumzuia huyu kocha asiondoke?
Hawamtaki tuu kocha
 
Hersi anaenda kuwa bilionea ndani ya miaka hii 3 kwa sababu ya vyura kama nyie.

Ukitaka nikwambie huyo Hamadi atadumu muda gani niambie nikujulishe. Na leo mnafungwa!
 
Haituhusu.
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA KICHWANI LAZIMA ZIYEYUKE....
 
Hersi anaenda kuwa bilionea ndani ya miaka hii 3 kwa sababu ya vyura kama nyie.

Ukitaka nikwambie huyo Hamadi atadumu muda gani niambie nikujulishe. Na leo mnafungwa!
Utafungwa wewe na vibaraka wako but sio yanga,,jiweke bond we mwenyewe kama una uhakika wa yanga kufungwa!
 
Utafungwa wewe na vibaraka wako but sio yanga,,jiweke bond we mwenyewe kama una uhakika wa yanga kufungwa!
Uhakika huu hapa. Hamadi Kibindoni kaja na kibegi cha mwanafunzi wa la 3C. Anajua hafiki sherehe za Muungano akiwa hapo vyurani.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…