- Thread starter
- #21
Acha upuuzi uwe ukiwa unaandika kitu uwe unajiridhisha kwanza usiwe bendera fata upepo kulishwa matango pori,,Rudi kawaulize vizuri viongozi wako kiasi walichokuwa wanamlipa benchikha!Karibu mara zote Simba ndiyo imekuwa inavunja mikataba na makocha na siyo kumuuza kama ilivyotokea kwa Said Kichwa.
Pia unaposema hakuna timu Tanzania ya kumlipa kocha mshahara wa milioni 100, kwani Benchikha alikuwa analipwaje?