serikali imeshatangaza rasmi msiba huu, au wanataka kututangazia kuwa alikufa ijumaa ilopita na mwili tayari umeshazikwa?
jama hii ni changa la macho, wanatuweka sawa kabla ya tume kutoa taarifa ya uchunguzi wake (kumbukeni ukamilifu wa uchunguzi uko ukingoni) KIKWETE UNAHARIBU NCHI.... BALALI HAJAFA
Mimi binafsi sishangai watu kutoamini hii taarifa. Hii ni kwa sababu tumekuzwa katika mfumo ambao hatukuzoea kumuamini mtu mwingine isipokuwa serikali. Ndio maana MKJJ alituonya kuhusu Amina tukamkatalia na kumkebehi lakini waliposema serikali ndio tukakubali. Vilevile tulijua kwamba mwalimu alifariki siku kadhaa lakini hatukuamini hadi tulipoambiwa na Mkapa! Hapa nako tunasubiri kuambiwa na akina Salva ndipo tukubali kwamba Balali kafa. Ndivyo mifumo ya kifashisti na kidikteta inavyofanya kazi: kuhakikisha kwamba ni serikali tu ndiyo inayokuwa na monopoly ya habari. Tuendelee kuwasubiri akina Salva.
sawasawa Mkuu Mtanzania, iweje wana ndugu wawe kimya hivyo? au wanafumbwa mdomo? kuna kitu, Ndugu na Serikali wanakijua zaidi... what is that?
Kuhusu wosia au kiapo alichoacha kwa mwanasheria itategemea ujasili wa mtu aliyeachiwa kuutoa hazarani.
Mimi binafsi sishangai watu kutoamini hii taarifa. Hii ni kwa sababu tumekuzwa katika mfumo ambao hatukuzoea kumuamini mtu mwingine isipokuwa serikali. Ndio maana MKJJ alituonya kuhusu Amina tukamkatalia na kumkebehi lakini waliposema serikali ndio tukakubali. Vilevile tulijua kwamba mwalimu alifariki siku kadhaa lakini hatukuamini hadi tulipoambiwa na Mkapa! Hapa nako tunasubiri kuambiwa na akina Salva ndipo tukubali kwamba Balali kafa. Ndivyo mifumo ya kifashisti na kidikteta inavyofanya kazi: kuhakikisha kwamba ni serikali tu ndiyo inayokuwa na monopoly ya habari. Tuendelee kuwasubiri akina Salva.
Nilisikia kwamba aliwaeleza mawakili wake kuhusu sakata zima la BoT pamoja na wahusika wake na yeye alihusika kwa namna gani, ikiwa ni pamoja na kuwapa nyaraka muhimu zinazothibitisha yote hayo. Sasa kama kafa hao mawakili wako wapi walete hizo taarifa humu kwenye jamvi?
Acheni kudanganyana nyie jamani
Mbona sisi watanzania ni wepesi kuamini namna hii jamani, vielelezo vya kifo viko wafi, wapi mwili wake, maana hiyo ndio proof tu.
Hivi mbona sisi wepesi namna hii jamani, na tutakuwa tunadanganywa kila siku tu, na kuibiwa
Hakuna mwanasheria mwenye huo ujasiri TZ. Kama yeye alishindwa kujitutumua tena akiwa nje ya nchi, itawezekanaje mwanasheria wake aweze? Tena mwanasheria, kuna watu waoga kuwashinda wanasheria?
Nakubaliana na wewe kabisa kwa sababu Serikari walivyogusiwa kuhusu huu mchanga wa macho hawakuamini sasa wametuma makachero wao nasasa wanayaona mazingaombweKwa dunia ya leo mkuu hivi vitu unavyodai (vielelezo, mwili) waweza kuvipata hata huyo mtu hajafa nawakazika huo mwili. Inategemea wahusika wa msiba wanamalengo gani. Tuko ktk dunia ya uharibifu.
nani anajua rafiki wa Balali hasa wa marekani? balali ni kiboko yao anamarafiki wenye kuihadaa dunia I know one of them. Walifanya kazi wote WB ni matapeli mwisho. So anything can happen na hata serikali ya JK inaweza kupigwa changa la macho vile vile na kuishia kusema wanajua/hawajui balali aliko ili kuficha aibu ya changa la macho walilopigwa na kijana wa mjini balali. Ni aibu selikari kusema Balali haijui aliko ndo maana inajibaraguza kusema tukimtaka tutampata lakini kiuhakika haijui aliko na wameingzwa mjini na mtoto wa mjini Balali.
Taarifa ya kwanza ya serikali juu ya kifo cha Balali isikilize kwa makini you will know what is inside it.
Ndugu wananchi kwasababu anayedaiwa kuwa marehemu alikuwa ni mtuhumiwa..Then tuna kila haki ya kuuhitaji ushaidi wa mwili wa marehemu kabla hatujaamua kufunga makabrasha yetu!
Hahaha,,, kazi ipo!Acheni kudanganyana nyie jamani