Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
jamani leteni mambo kabla ishu haijapoa

Nakubaliana nawe Mkuu inabidi Tuandamane kama hakieleweki hapa. Inaonekana sth is wrong somewhere kwani ni apart from TZ Daima hamna chombo kingine kimemwaga habari?
 
Let me put it all this n this way!

Its just the begining of the very bright ending of our national Tanzania!

One by one....! they will surrender to the BIGEST TRUTH! why not?

The party has just began!!

THIS IS TZ!!!!
 
"Ndugu mmoja wa Ballali alipoulizwa na Tanzania Daima sababu za kushindwa kutangazwa kwa taarifa za kifo hicho mapema alisema walilazimika kufanya hivyo ili wapate fursa ya kuwasiliana na serikali kwanza na kisha ndugu, jamaa na marafiki wa familia yao kabla ya habari hizo kusambazwa."

Kwanza kwanini waitegemee serikali.. kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tuu (wafisadi ni fisadi tuu, lazma warudi kwa mafisadi wenzao)
 
Bubu.. yaani unaenda kwa Michuzi kuthibitisha habari za JF... we are the first in news.. others will always follow. Umeniangusha mzee.
 
Damn, this is shocking!!!! Anyway, the writing was on the wall...

mwanakijiji alitengeneza "logic" yake watu wakavimbisha misuli ya kichwa kwamba analeta uzushi.Hapa ni JF bwana, lisemwalo lipo kama halipo halisemwi!
 
Ya'll think you got the big story? the real strory is behind it... just wait few days (labda hadi Ijumaa) then the shock of the year.... the proverbial "putting the other foot down"...situation.

Mshawahi kuona mtu mzima anajishika kichwa na kulia "mama weeee"?

Niwaache na habari yenu, I'm finishing my story as commemorate the death of over 1000 Tanzanians 12 years ago.
 
Jamani nammiss sana Mwafrika wa kike na changamoto zake hapa, hii ni habari nzito sana lkn simuoni

MwFk,

Mchango wako unahitajika hapa
 
mwanakijiji alitengeneza "logic" yake watu wakavimbisha misuli ya kichwa kwamba analeta uzushi.Hapa ni JF bwana, lisemwalo lipo kama halipo halisemwi!

Nimerudia kusoma vizuri katika hile thread, yote ya sasa hivi tayari yalikuwa wazi. H

ila tu wengi hatukupata ujumbe sawa sawa na pia hile story ya tanzania daima ilikuwa ilikuwa imemaliza, ukiisoma mstari hadi mstari unapata ujumbe mzima.

Mungu alitoa mungu ametwaa.

Amina
 
Mzee Mwanakijj,

heshima yako baba! ulitabiri hili few days ago.. how? how!! Yaani nakuaminia.
 

Sasa mzee Field Marshall unatueleza kwamba Mkono ndiye mwanasheria wa Marehemu..... Inakuaje kuaje Personal Lawyer wa Gavana wa central bank akawa pia ndiye official lawyer wa Central Bank? Mimi naona kuna dirty game hapa ilikuwa ikiendelea.

I know humu JF kuna wanasheria wengi. Embu tusaidieni jamani; Hivi kuna kifungu chochote cha kisheria ambacho kinaweza tumika kumweka bwana Mkono into task kwamba yeye kama registered lawyer, kulingana na conflict of interest clause yoyote (kama ipo) alipaswa kukataa mojawapo ya majukumu niliyoyataja hapo juu? This does not make any sense at all to a lay person like me!!!!!!!! Ebu wanasheria mtusaidie kwenye hili. Hata kama Balali amekufa, bado Mkono kama mwanasheria inambidi atupe majibu ya kueleweka kama kweli kuna kifungu cha sheria alichokikiuka. Ikiwezekana avuliwe uanasheria kabisa... This is NONSENSE!!!!!
 
Ndugu yangu Mwana kijiji/Invisible mtafute basi Dr.Slaa naye tumsikie anasemaje au ana news zipi
 
JK kumbe kichwa! aliweza kujua kama balali atakufa within six months baada ya kamati ya EPA! kweli tanzania tunawataalamu wa mambo ya sumu!
 


machoni mwa wengi huyu MKono alikuwa anapewa heshima kubwa kabisa, tena niliposikia alipokuwa anatatua mzozo wa wanafunzi UDSM na serikali nilimuheshimu sana huyu bwana, lkn leo hii sijui ni seme nini kihusu ile heshima yangu kwake (nadhani na wengi pia) aibu kubwa sana.. halafu bado anangebe kabisa, tu kwassb yeye ni mwanasheria an anadhani aataichezea awezavyo

lkn wenye nchi watakapo amua hakuta kuwa na hiyo sheria yake
 
Kuna Ndugu Wa Karibu Hapa Udsm - Huyu Ndugu Yake Leo Simwoni Akidunda Kama Kawaida Yake , Yeye Anasoma Masters , Hatanii Watu Kama Alivyokuwa Anatania Na Hata Kule Nyumbani Kwake Changanyikeni Kuko Kimya Tu Piki Piki Yake Iko Tupu
 
Jamani nammiss sana Mwafrika wa kike na changamoto zake hapa, hii ni habari nzito sana lkn simuoni

MwFk,

Mchango wako unahitajika hapa

Tuandamane....

nipo nafuatilia mambo behind the scene ili kuhakikisha kila alichosema Balali kuhusu wana ccm na uizi wao uliokithiri vinawekwa hadharani kwa muda maalumu.

Tupo pamoja kwenye hili na mimi narudia kile nilichosema tangu ijumaa iliyopita:

Roast in Pug (RIP) Balali.
 

Niogezee tena ...ni mwanzo wa kiama! Na kwenye kiama kuna two parts kuvuna CHEMA ulichopanda na pia KUSAGA meno for those who are destined for it! Nitoe ONYO kwa mafisadi chipukizi: Ukweli usifanyiwe mchezo! Repeat... Never temper with The truth hasa ule uliojengwa na JKN!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…