Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Asante mushi kwa maneno matupu yasiyo na vitendo. Nasubiria kuona vitendo

Nafanya vitendo!
Halafu itakuwa ni aibu pale nitakapopata sapoti ya wazungu zaidi hata ya watanzania wenzangu!
We umeketisha hapo unapiga domo bila ya kujua wenzako wanafanya nini!
Wewe si ndiye uliyekuwa ukimsapoti Zitto kuwa hana haja ya kuwauliza state dept?
We unafikiri kwanini haya yanaendelea?
Ama unafikiri ni miujiza tu inatokea?
 
Na ndio maana narudia ni bora awe amekufa kweli!
Maana ile issue ya rumours za kifo cha Chenge naona mafisadi walikuwa wakipima kuwa watu wata react vipi! kabla ya kuamua kumwaga minyuuzi hii! Ilikuwa ni pima joto!
Na kwa niaba ya wazalendo wa kweli.....Watanzania nyumbani tunawahakikishia kuwa hatutawaangusha!
 
Wewe ni fisadi tu na nitahakisha kila memba wa JF amekujua kama fisadi kila wakati utakapokuwa unatetea ufisadi hapa.

asante sana ! nitafurahia hiyo promo yako ya BURE ! i like such folks like you ! keep it tight booty man !
 
Kama ulikuwa ni usia wake kuteketezwa basi kwa kanuni za Kanisa Katoliki basi itafanyika mara tu baada ya ibada

Hapo juu ni statement kutoka kwa MKJJ kuwa Balali ni mkatoliki!
Sasa hapo pia kuna utata!?
 
Pia wamarekani walitoa kauli nyingine jana kuwa wako tayari kumtoa Balali kama serikali yetu ikitaka!
Je serikali ya marekani haikujua kuwa kafa?
je watatuambia ukweli ama mpaka tuwabane hapa?
 
Jamani eehh hii ni ishu sio uongo ! ni kweli ballali alikufa. alikuwa kwenye life support, na ndugu zake wakashauriana na madaktari na kilichoamuliwa ni kumtoa kwenye life support. Thats all i will say, and wont reveal anything else ! Lakini ni ukweli jamaa amefariki !
 
Soo lilipobumburuka aliugua gahfla na serekali ikampeleka nje ya nchi kwa matibabu lakini baada yamuda serekali yenyewe iliyompeleka nje ikawa haijui alipo, na sasa tunaambiiwa amefariki na cha kushangaza kabisa ni kuwa atazikwa hukohuko alikofia! Wachovu chovu chovu chovuuu, wabeba boksi- wanarudishwaga hata kwa michango, jiulize why not this millionaire? Nimeongea na ndugu wa karibu sana wa Ballali na hajui chochote so usishangae sana ukigongana na Ballali mitaani siku moja. You have been fooled,you are just being forced to forget about him.
 
Halafu mauzauza mengine ni kuwa huyu bwana aligoma kujiuzulu!
Yani alimgomea bosi wake aliyemwajiri...MKUU WA NCHI!
Wakabishana sana!Na nikashangazwa huyu jamaa ana confidence gani ya kubishana mkuu wa nchi aliyemwajiri!
Halafu akaumwa...Halafu akaenda kutibiwa nje ya nchi!
Baada ya hapo akafukuzwa kazi wakati akiwa nje ya nchi!
Na baada ya kufukuzwa kazi akawa ahitajiki kwenye uchunguzi!
Halafu akaanza kuhitajika tena!
Wamarekani wakasema tutawapa Balali.
Serikali ikagoma(nakumbuka ile thread yangu ya Kikwete akataa Balali asiletwe ilivyopigwa vita na kupelekwa kunako udaku!)
Tukawabana...
Hivyo kuanza kutafutwa tena licha ya kwamba alikuwa akijulikana aliko!
Baada ya hapo kafa!
Na sasa ni maziko!
Mwalimu tulipewa taarifa zake every minute ndio iwe Balali?
Life support kweli kweli.
 
Halafu mauzauza mengine ni kuwa huyu bwana aligoma kujiuzulu!
Yani alimgomea bosi wake aliyemwajiri...MKUU WA NCHI!
Wakabishana sana!Na nikashangazwa huyu jamaa ana confidence gani ya kubishana mkuu wa nchi aliyemwajiri!
Halafu akaumwa...Halafu akaenda kutibiwa nje ya nchi!
Baada ya hapo akafukuzwa kazi wakati akiwa nje ya nchi!
Na baada ya kufukuzwa kazi akawa ahitajiki kwenye uchunguzi!
Halafu akaanza kuhitajika tena!
Wamarekani wakasema tutawapa Balali.
Serikali ikagoma(nakumbuka ile thread yangu ya Kikwete akataa Balali asiletwe ilivyopigwa vita na kupelekwa kunako udaku!)
Tukawabana...
Hivyo kuanza kutafutwa tena licha ya kwamba alikuwa akijulikana aliko!
Baada ya hapo kafa!
Na sasa ni maziko!
Mwalimu tulipewa taarifa zake every minute ndio iwe Balali?
Life support kweli kweli.
 
habari hii inanikumbusha kitabu kimoja kinachoitwa "SIvyo Ilivyo"

yaani mengi ambayo unayoyaona na kuyafikiria huenda mengi sivyo yalivyo.


ila sifa ya ardhi haiweki siri kila kitu kitakuja juu hatujui ni lini lkn wakati utapofika litajulikana la kuvunda na la kuwiva
 

This is very interesting; another conspiracy theory?
 
Tunataka mwili wake urudishwe nyumbani akafanyiwe mazishi ya kitaifa. Alikuwa Kiongozi wa kitaifa na anastahili mazishi ya kitaifa kama ilivyokuwa kwa Gavana Rutihinda na Gavana Nyirabu.
 
Mauzauza mengine...Eti serikali ilimfukuza kazi lakini walisubiri mpaka kamati iseme kama alihusika kwenye wizi...

Govt might process Ballali`s extradition

2008-01-23 08:56:27
By Rose Mwalongo


The government has said it will seek extradition of former governor of the Bank of Tanzania Dr Daud Ballali, who is now in the USA, if he will be implicated in the External Payments Account (EPA) scandal.

Public Safety and Security minister Harith Mwapachu told The Guardian yesterday that all those involved in the scandal would be brought to justice.

Dr Ballali was sacked by President Kikwete early this month after the central bank under his leadership occasioned multi billion loses through dubious payments and dealing with phony companies in 2005.

Ballali was in the USA undergoing treatment when the President rescinded his appointment. He has not returned home yet.

President Kikwete had appointed a probe team to investigate companies and individuals who were involved in the shoddy deals.

Yesterday, Mwapachu said if Dr Ballali would happen to be one of the people implicated in the EPA scandal, he would definitely be required to return to the country to face justice.

Tanzania Ambassador to Washington Ombeni Sefue was quoted by the local media on Monday as saying that Dr Ballali, whose whereabouts has been the talk of town, is still in the USA.

He said Ballali, who he said was in stable condition, was receiving medical care in Boston, Massachusetts.

The US government withdrew Ballali�s visa last week following his removal from the post.

Mwapachu said the government could make use of the transnational crime treaty or the extradition treaty to get Dr Ballali back home should the presidential probe committee implicate him in the multi billion loss of public funds.

Asked as to whether they were sure that Ballali would not escape if implicated, Mwapachu said: ``You can run but you can`t hide in this world. It is the era of globalization.``

He, however, said he hoped things would not go to that extent, adding, ``He (Ballali) is aware of the allegations. We hope he will willingly come to answer the charges in case he is implicated.``

Speaking to The Guardian, Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Dr. Cyril Chami said he did not know when Ballali would return home.

``It is up to his doctors to decide. He is an individual who has gone for treatment and the world is big,`` he said.
  • SOURCE: Guardian
 
NameDaudi Ballali
SurnameBallaliFirst NamesDaudi T. S.Alternate Name TitleMrCountry of BirthTanzaniaPositionsFromToOrganisationPosition2006 TRA Board of Directors Director 20062008IMF Board of GovernorsGovernor Alternate - Tanzania19982008Bank of TanzaniaGovernor19971998President's OfficeEconomic Advisor to the President19861997International Monetary FundDeputy Division Chief - heading IMF misions to negotiate and supervise Economic Reform Programmes19841986International Monetary FundSenior Economist - Zimbabwe19821984International Monetary FundSenior Economist - Ghana19791982International Monetary FundDesk Economist - Ghana19671976Bank of TanzaniaEconomist within Bank of Tanzania - Various PositionsDate of Birth Political Affiliation eMail Telephone Address NotesSee: http://allafrica.com/stories/200801300622.html
[ Retrieved on 11 FEB 2008 ]
Former governor of the Bank of Tanzania Daudi Ballali, led a dramatic life during his tenure at the central bank and when he tried to escape from disgrace on December 19, last year, his move was foiled by the appointing authority.
Sensing impending danger following the completion of external audit on the bank's external payments arrears (EPA), Mr Ballali decided to resign, citing health problems.
Credible sources within the central bank believe that the former governor was trying to pre-empt the much awaited EPA report that has finally established payment of Sh133 billion to ghost companies.
While Mr Ballali was trying to escape the sack by offering his resignation before the EPA report was released, his boss viewed this move as a trick and decided to remain silent.
Sources further told The Citizen this week that the State had wanted to act against Mr Ballali after it had gone through the EPA report.
The move was aimed at boosting public confidence as well as gaining credibility of Tanzanians who, in the past two years, have been lost trust on the manner the Government was dealing with corruption allegations.
[ he Citizen (Dar es Salaam) - 10 Jan 2008 - http://allafrica.com/stories/200801100512.html ]
BoT governor cornered
MEMBERS of Parliament have increased pressure on the government to explain the alleged personal involvement of the governor of the Bank of Tanzania, Dr Daudi Ballali, in the external debt funds scandal now rocking the central bank.
Opposition legislators are now demanding an official statement from the Minister for Finance, Ms Zakia Meghji, on spreading allegations of alleged gross mismanagement of funds in BoT’s foreign exchange coffers that now appear to be targeting Dr Ballali in person.
(This Day - Dar es Salaam) [ 23 Jun 2007 - http://www.thisday.co.tz/News/2197.html ]
 

Sign In to Intelius | Manage Account
Help: (888) 445-2727 | View My Reports

Return to Home






Get More Information on Daudi Ballali in Bethesda, MD
background checkphone searchCriminal CheckDaudi Ballali is 65 years old.Previous Locations for Daudi Ballali:1 in Philadelphia, PA
1 in Rockville, MD
1 in Silver Spring, MD
1 in Washington, DC
1 in Potomac, MD
1 more location in 1 other city...
Relatives of Daudi Ballali:Elizabeth Ballali
Rachel Ballali
Albina Ballali
 
Kati ya state zote ambazo Balali amewahi kuishi ama ana ndugu ama nyumba..Hakuna rekodi ya kifo chake!
Wamarekani watupe majibu kwasababu mtu akifa hiyo ni public record!
 
Tunataka mwili wake urudishwe nyumbani akafanyiwe mazishi ya kitaifa. Alikuwa Kiongozi wa kitaifa na anastahili mazishi ya kitaifa kama ilivyokuwa kwa Gavana Rutihinda na Gavana Nyirabu.

kichuguu,
nadhani utakuwa haupo familiar na utaratibu wa mazishi ya viongozi.
familia ikisema haitaki marehemu azikwe kitaifa, then that stay that way !
 
Kati ya state zote ambazo Balali amewahi kuishi ama ana ndugu ama nyumba..Hakuna rekodi ya kifo chake!
Wamarekani watupe majibu kwasababu mtu akifa hiyo ni public record!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…