Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekuwa na kauli tata kwa muda wote wa tukio hili... Well mie bado nasubiri siku utakapo toa utata katika hilimnakata tamaa mapema mno... halafu mnakatisha tamaa pia...
Kwanini waliweka security ya kukataza watu wasipige picha......au aliyezikwa si yeye....????
Umekuwa na kauli tata kwa muda wote wa tukio hili... Well mie bado nasubiri siku utakapo toa utata katika hili
Kibunango,
Umesema kweli tupu, kwenye suala la Ballali mimi nitakuwa wa mwisho kumwamini Mwanakijiji.
Binafsi naamini Mwanakijiji ni mchezaji kwenye huu mchezo usioleweka wa kuturushia michanga wananchi. Kitu ambacho sijui ni je anacheza namba ngapi?
Now, you talking! mimi nakuamini na kama unazo mkuu usizitoe bila idhini ya wafiwa... Nilichokuwa nikishangaa ni kwamba haikuruhusiwa kabisa picha kupigwa. Hii ilinichanganya sana na kuanza kuzua dhana tofauti.Natamani na mimi ningekuwa wewe na si mara moja natamani mizigo mingine wabebeshwe wengine. Kuna furaha gani ya mimi kujiweka kuwa target? Nimepata mtu ambaye anazo picha zote.. je nizichukue niziweke au nikifanya hivyo nitaendeleza dhana kuwa ni sehemu ya changalamacho? Ni mtu pekee sasa hivi ambaye najua uwepo wa picha hizo na nikiamua kuziweka nitaziweka lakini kwa hofu ya hicho unachokiashiria sitagusa hilo nitawaacha wengine wafanye jambo hilo.
Naona Haki Hakingowi katoa baadhi ya picha za mazishi...
Hapa sasa hivi mkuu Jmushi naona utakuwa umeenda mbali ambako sitaki kabisa kushiriki...
Binafsi maadam kulifanyika msiba na watu wakawepo kwenye mazishi sidhani kama inawezekana unavyofikiria...
Mimi hofu yangu kubwa ilikuwa maamuzi ya familia ya marehemu kama wameweza kutazama nje ya uchungu waliokuwa nao... Na kwamba wakati mwingine mnafikiria kuwa mnafanya kinga kumbe ndio kwanza mnajenga Ufa, haihusiani na marehemu kabisa.
Mushi naomba nikuulize unataka picha za iana gani?
Mushi naomba nikuulize unataka picha za iana gani?