Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

Huyu jamaa huyu kqma kweli ni unga alikuwa anauza tunamwachia mwenyezi Mungu amsamehe yotee kwa kumdhihaki kutumia pesa chafu kujenga msikiti
 
Duuuh !1 OMG !! Binaadamu ni kiumbe cha ajaabu !! Upande Shetwani na upande mwingine Nusu malaika na Juu yake katili na chini yake mnyonge!!!
 
Magufulu Kiboko Kigogo Akamatwa Kwa Tuhuma za Kuhusika na Unga | Udaku Special Blog
amesharukiwa, dunia hii ya ajabu sana. bofya hapaMagufulu Kiboko Kigogo Akamatwa Kwa Tuhuma za Kuhusika na Unga | Udaku Special Blog
 
Duuuh !1 OMG !! Binaadamu ni kiumbe cha ajaabu !! Upande Shetwani na upande mwingine Nusu malaika na Juu yake katili na chini yake mnyonge!!!
Kuna vitu duniani vitaendelea kuwepo na kufanyika,mfano hiya biashara ya unga.
Kikubwa nj kuwaelemisha watoto na vijana wasijiingize ktk matumizi au kufanya biashara hi
Huko Colombia,Peru, Bolivia, Afghanistan, Thailand Kuna watu wanalima zao hill na kill siku kila saa kila dakika kila sekunde cocaine na opium inavunwa ma ton na ton.
Kit nnacho elewa na kufahamu kutokana na ufahamu wangu mdogo na kukulia mitaa ya ajabu....akili za kuambiwa Changanya na zako
 
wote waliokuwa wanamkingia kifua kwasababu ni muslim njooni mtupe mrejesho.
 
Tat

Amma kwa hakika sijawahi kusoma comment mbovu kuliko hii.

Nnauhakika tatizo kubwa ulilonalo ni elimu duni.
 
Papaa Kanyau Mungu akubariki biashara zako zivuke border hehehehe
 
Tat


Amma kwa hakika sijawahi kusoma comment mbovu kuliko hii.

Nnauhakika tatizo kubwa ulilonalo ni elimu duni.
EEnh ulichoandika wewe ndio kizima? ok tuseme Elimu duni ni elimu ipi uliyopitia wewe pia so kama unamuita mtoto wako mbwa basi na wewe utakuwa Jibwa tu... Nadhani Kitabu chako unachoamini katika dini yako ndicho kibovu... na Mwamedi uelewe HAkusoma lakini ndio anakuongoza hadi leo hii uwe na roho hiyo ya Ajabu ajabu... Jihad na Ugaidi ndio maneno yanayofundishwa humo hakuna zuri hata moja
 
Hivi we kimbulu tuambie Yesu alisoma wapi? By the way unajua zigo la ukristo mmeachiwa miafrika tu tena ya kusini mwa jangwa la sahara! Pamoja na kujipendekeza kwa waisrael hakuna hata muisrael aliye mkristo, wazungu walowaletea ukristo nao wameuacha cku nyingi, shtuka kijana
 
Kinachonikera kwenye huu uzi ni kumtaja Mungu kwenye mambo ya kijinga. Mtu anatuhumiwa muuza unga halafu mpuuzi flani anasema tumwachie Mungu wakati kuna vyombo vya kisheria ambavyo hata Mungu anavitambua. Mtuhumiwa wa huu uhalifu tuwaachie polisi na mahakama na sio kumtajataja Mungu ovyo. Tena hawa ilibidi wauawe kabla hata ya kufika polisi kwa uhalifu mkubwa wanaoufanya.
 
Hv mfano akitokea MTU humu au mtaan kwenu akkutuhumu ww n shoga kwahyo unataka tuamin kuwa ww n shoga kwel pacpo na uthibitsho?
 
wote waliokuwa wanamkingia kifua kwasababu ni muslim njooni mtupe mrejesho.
Akina Ngeleja na Chenge na Ruge, walishirikisha Kanisa na Maaskofu katika fedha Eskrow
 
Hv mfano akitokea MTU hum au mtaan kwenu akkutuhumu ww n shoga kwahyo unataka tuamin kuwa ww n shoga kwel pacpo na uthibitsho?
Usiongelee stori za kusadikika hapa. Tofautishà uvumi na tuhuma zinasobabisha dola Ikukamate. Huo mfano wako ni wa kupuuzwa
 
Ni kweli unachosema hata wa Colombia, mmexico etc Ni wakristo wazuri tu lkn pia Ni wauzaji wakubwaa wa madawaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…