mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Hivi Myahudi ni rangi gani mkuu?Mzungu pure
Sara alikuwa anarangi ganj, Ibrahim yeye alikuwa ni mweusi kidogo mwenye mchanganyo na nywere zake sio pilipili kama zetu
Hivi Myahudi ni rangi gani mkuu?Mzungu pure
Ibrahim alimtoa wapi Sarah?..kama alitoka nae kwao Ur iraq,basi hawakua na tofauti na wairaqHivi Myahudi ni rangi gani mkuu?
Sara alikuwa anarangi ganj, Ibrahim yeye alikuwa ni mweusi kidogo mwenye mchanganyo na nywere zake sio pilipili kama zetu
Hata wewe mluguru wa leo ujue kwamba waluguru wa leo sio kama walivyokuwa karne 5 za nyuma lakini ni waluguru tu.Mzungu pure
Wewe ni lini mara ya mwisho kumuona Ibrahim.Hivi Myahudi ni rangi gani mkuu?
Sara alikuwa anarangi ganj, Ibrahim yeye alikuwa ni mweusi kidogo mwenye mchanganyo na nywere zake sio pilipili kama zetu
Waluguru wa karne saba nyuma walikua weupe kama gsm?!Hata wewe mluguru wa leo ujue kwamba waluguru wa leo sio kama walivyokuwa karne 5 za nyuma lakini ni waluguru tu.
Halafu kumbe zile drones zilizorushwa tarehe 13/ 06/ 2025 kuwaua Mkuu wa Majeshi na Maofisa 6 wa juu wa kurutubisha nuclear zilitokea kwenye kituo kilicho ndani ya Iran. Yaani Mossad walikuwapo Iran kipindi wakipanga mambo yaoMtaalam wa Reconnaissance ( Aeronautics) anauzaje wenzie kiasi hiki ?
Yani Jamaa kabobea kuharibu vitu vya Iran tu ?
Kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alikuwa Mohammad Kazemi. Hata hivyo, mnamo 12 Juni 2025, iliripotiwa kuwa Kazemi pamoja na naibu wake waliuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na IDF.Tupe na CV ya mkuuwa intelijensia wa Iran, na washauri wa karibu wa Ayatollah ili fact ziwekwe mezani tone kama hii vita itamaliza mwezi au laah
Braza unamsema ponjoro auElimu kidogo, akili mingi
Bongo sasa,
Mtu kasoma shahada kibao, akili (O)
Na wakati huo huo ni Prof
ujinga mtupu
hawa wetu ni maprofesa utopolo, wanawaza siasa na teuzi tu hakuna wanalotafiti na kugunduaElimu kidogo, akili mingi
Bongo sasa,
Mtu kasoma shahada kibao, akili (O)
Na wakati huo huo ni Prof
ujinga mtupu
CV imeshiba Sana, inaendana na kazi anayofsnya, sio bongo, unachukua mtu kasoma Law enforcement, akawe Spy master, mtu kasoma ustawi wa jamii, unamfanya waziri wa Afya(jenesta) MD dokta, alyefanya kazi ndani ya wizard ya Afya, unamfanya waziri wa, vijana na wazee,View attachment 3375596
David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi:
1. MAELEZO YA JUMLA:
Jina kamili: David (Dave) Barnea
Tarehe ya kuzaliwa: 1965
Nchi: Israel
Kazi ya sasa: Mkuu wa Mossad (2021–mpaka sasa)
2. ELIMU:
- Alisoma Shahada ya Sayansi ya Kompyuta katika Chuo Kikuu cha Tel Aviv.
- Alipata mafunzo ya juu ya usimamizi na uongozi ndani ya Jeshi la Israel (IDF) na baadaye katika Mossad.
3. UTAALUMA WA KAZI:
3.1. Jeshi la Israel (IDF) – Sayeret Matkal (1980s-1990s)
- Barnea alijiunga na Sayeret Matkal, kikosi maalum cha IDF (kama Delta Force ya Israel).
- Alifanya kazi kama ofisa wa ujasusi na operesheni za siri.
3.2. Mossad (Miaka ya 1990 – mpaka sasa)
- 1990s: Alijiunga na Mossad na kufanya kazi katika Idara ya Operesheni (Caesarea)– kitengo cha operesheni za nje.
- 2000s: Alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Upelelezi wa Teknolojia
- 2013–2019: Aliongoza dara ya Upelelezi wa Kigeni (kukusanya taarifa za kimataifa).
- 2019–2021: Aliteuliwa kuwa Naibu Mkuu wa Mossad chini ya Yossi Cohen.
- Juni 2021: Alichaguliwa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuwa Mkuu wa Mossad.
4.OPERESHENI ZA KUJULIKANA:
- Kuharibu mipango ya nyuklia ya Iran (kwa kushirikiana na CIA na shirika la ujasusi la Ujerumani, BND).
- Kusimamia mauaji ya wanasayansi wa nyuklia wa Iran (k.m. Mohsen Fakhrizadeh, 2020).
- Kuvuruga usambazaji wa silaha za Iran kwa Hezbollah na Hamas.
- Kushiriki katika makubaliano ya Abraham Accords (usahihi kati ya Israel na nchi za Kiarabu).
5.MAONI YA KIMTINDO WA UONGOZI:
- Anafuata mtindo wa "kupiga kwa nguvu" dhidi ya Iran na makundi yanayotekeleza mipango yake.
- Anaamini katika ushirikiano wa kimataifa (hasa na Marekani na Uarabuni) kukabiliana na Iran.
- Anafanya kazi kwa siri na uangalifu mkubwa, kwa kawaida haachi picha wala mahojiano ya hadhara.
6. MAISHA YA BINAFSI:
- Anaishi Tel Aviv, Israel.
- Mwenye ndoa na watoto.
- Lugha: Anaongea Kiebrania, Kiingereza, na lugha nyingine kwa ufasaha.
Barnea anahesabiwa kama moja kati ya viongozi walio thabiti na wenye nguvu zaidi wa Mossad, na anaendelea kuwa mstari wa mbele katika vita vya siri ya Israel dhidi ya Iran.
Mkumbo anaingiaje hapa Chief?Elimu kidogo, akili mingi
Bongo sasa,
Mtu kasoma shahada kibao, akili (O)
Na wakati huo huo ni Prof
ujinga mtupu
Ametufikia in Lucas voiceVipi chura kiziwi yeye