David Barnea: Mjue Boss wa MOSSAD aliye nyuma ya mashambulizi ya Israel kwa Iran

Hata wewe mluguru wa leo ujue kwamba waluguru wa leo sio kama walivyokuwa karne 5 za nyuma lakini ni waluguru tu.
Waluguru wa karne saba nyuma walikua weupe kama gsm?!
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-19-12-54-51-269.jpg
    330.6 KB · Views: 27
Mtaalam wa Reconnaissance ( Aeronautics) anauzaje wenzie kiasi hiki ?
Yani Jamaa kabobea kuharibu vitu vya Iran tu ?
Halafu kumbe zile drones zilizorushwa tarehe 13/ 06/ 2025 kuwaua Mkuu wa Majeshi na Maofisa 6 wa juu wa kurutubisha nuclear zilitokea kwenye kituo kilicho ndani ya Iran. Yaani Mossad walikuwapo Iran kipindi wakipanga mambo yao
 
Asante mwandishi kwa kutumia chatgpt kukopy na kupaste ..chatgpt oyeeee
Sasa unadhani kwa nini hizi ChatGTP zipo? Zimeletwa ili tuzitumie kupanua maarifa.

Kwani ulidhania nimekwenda Israel nikafanya utafiti??
 
Tupe na CV ya mkuuwa intelijensia wa Iran, na washauri wa karibu wa Ayatollah ili fact ziwekwe mezani tone kama hii vita itamaliza mwezi au laah
Kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alikuwa Mohammad Kazemi. Hata hivyo, mnamo 12 Juni 2025, iliripotiwa kuwa Kazemi pamoja na naibu wake waliuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na IDF.
 
CV imeshiba Sana, inaendana na kazi anayofsnya, sio bongo, unachukua mtu kasoma Law enforcement, akawe Spy master, mtu kasoma ustawi wa jamii, unamfanya waziri wa Afya(jenesta) MD dokta, alyefanya kazi ndani ya wizard ya Afya, unamfanya waziri wa, vijana na wazee,
Mtu kasoma sheria unamtoa wizara ya sheria unampeleka Mambo ya nje, na mtu ambaye ni career diplomat unamtoa Mambo ya nje, unamfanya waziri wa sheria!
 
Jamaaa ni Marehemu lkn walokole wabishi kuelewa!!
 
Pro Iran Wana kwambia jamaa aliuwawa kwenye mashambulizi Yale ya siku 12 ni vituko kwa kweli

Cc . All Wavaa vipedo wa JF
 
David Barnea yuko hai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…