Ndugu, Victoria Beckham na watoto wake walikuwa Kenya last year. (You can Google that).
But hizi habari zimeacha kuwa kubwa sana Kenya.
Julia Roberts, Demi Lovato, Madonna, Aaron Ramsey, Pep Guardiola na wengine sikumbuki saa hii, wamekuwa safari Kenya in the last few months.
Sana sana hizi habari hazifiki Jamiiforums kwa sababu si habari kubwa sana Kenya.
Idadi ya English Royalty inayofika Laikipia peke yake kila mwaka haijawai onekana Tanzania karne hii.
Ata King wa Holland juzi alikuwa rubani wa ndege za Kenya Wildlife Service.