David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

Hili nakubaliana na wewe
 
Mr. KnowItAll the right honourable mayor si kila mtu ana muda wa kufuatilia kwa kiwango hicho hicho unavyofuatilia. Na kama wewe mwerevu ulifuatilia ukahisi wajinga sisi hatujaisoma... why hukutumia werevu wako kuileta hiyo proposal humu jukwaani?
Kwa hiyo kipimo chako cha kiwango chetu cha ujinga ni kutokusoma proposal ya serikali kuhusu nishati? How are they related?
 
Ukweli ni kwba Upinzani kwa Kafulila tumepoteza mtu muhimu sana tu
 
Hilo jukumu lilifanywa na Waziri wa Nishati nenda kamsikilize pia
Baada ya hapo ulitakiwa kuweka link/clip ya serikali ili watu wasikilize.

Sasa ukisema nenda kasikilize alichosema waziri hiyo clip natoa wapi; social media ya wizara ya nishati hawana yake, TBC hawana hotuba yake, independent media zote main stream and online hawana hotuba. To make things easy.

Otherwise hakuna mtu wa kuangalia video za masaa saba kutafuta sehemu ambayo waziri wa nishati kaongea; ni jukumu lake kuweka maafisa habari ambao taarifa zake zinafikia umma kwa kwa uraisi.m

Ain’t nobody got time to search for nonsense.
 
Akili zako zinakutosha mwenyewe
 
Kama hujui ni wewe tu
 
Hivi kuna mbongo ambaye hana accent kweli? Hata walioishi huko majuu miaka na miaka bado wana accent tu!
Maria Sarungi na Fatma Karume wanaongea kama wazungu kabisa. Hata January Makamba yuko vizuri anaweza ku flow.
 
Naona umekimbilia huku,

CHADEMA tangu mkose pesa ya kampeni mmekuwa mazezeta
 
Kwa wasiojua kiingereza ni sawa kaongea kiingereza ila kwa mm naona ni mwanafunzi sana huyo.
Kwenye hako ka clip ka mwanzo hapo mwisho anaposema "society achieve"ni broken English isiyopaswa kuzungumzwa na mtu aliyemaliza F4.
 
Kwa wasiojua kiingereza ni sawa kaongea kiingereza ila kwa mm naona ni mwanafunzi sana huyo.
Kwenye hako ka clip ka mwanzo hapo mwisho anaposema "society achieve"ni broken English isiyopaswa kuzungumzwa na mtu aliyemaliza F4.
Hebu sawa basi weka usahihi ni Upi?
 
Unajichanganya hoja zako hazieleweki kabisa
Shida inaanza na uwezo wako.

Hujui taratibu za ku-register deni la taifa

Namna linavyosimamiwa.

Jinsi linavyikuwa audited and so forth.

Nafasi ya Kafulila, uelewa wake (kwa elimu kuhusu hayo mambo) na authority ya nafasi yake kutolea ufafanuzi hayo mambo.

Mtu wa kumjibu Mpina na Mwigulu sio, Kafulila na chawa wake kama ndio kabisa; huna unachojua kuhusu taratibu za mikopo zaidi ya kutuandikia ujinga tu humu.
 
Mwigulu hawezi kujibu ujinga ujinga huu, Hata Kafulila ameamua ku-comment kwa kifupi sana,

Mpina hana hoja hapo.

Sijui una level gani ya Elimu aiseee,

Haya unayoandika si ni hayo hayo Kafulila ameyasema?

Deni liko registered tayari isipokuwa pesa kalipwa mzabuni moja kwa moja toka kwa Mkopeshaji,

Hapa wewe hujaelewa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…