Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kafulila kwa nini upo busy kutolea mfano na USA wakati wenzetu ishu ya chakula na matibabu kwa raia wao sio ishu kubwa kwa nini unatolea mifano kwa waliokuzidi hata uwezo wa kufikiri yaani unawezaje kumueleza mtu kuwa kununua kitu Nje kinapunguza hasara kuliko kutumia kitu chako mbona mnakua hamna uchungu na raia mnaowaongoza hata kwa vitu vinavyoonekana kwa macho..