CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Sasa shid Iko wapi Watanzania?Very true.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa shid Iko wapi Watanzania?Very true.
Vp ethiopia ambaye umeme wake umefika mpk TZ?
Ni mjinga?
Vp ethiopia ambaye umeme wake umefika mpk TZ?
Ni mjinga?
Tuna shida kubwa sana, tuseme wako sahihi, miaka yote tunapata shida ya migao ya umeme nchi nzima hawakujua kuwa kuna umeme wa kununua Ethiopia?Ukiwa na viongozi kama Kafulia aliyeshindwa hata mkewe au akina Makonda na miungu yao unategemea nini?
Ukiwa na binadamu wanaofurahia na kupenda kuitwa machawa, unategemea nini?
Ukiwa na viongozi wanaojivunia kufuga chawa, unategemea nini mwanangu?
Punguza tu makasiriko kwanini unalazimisha Taifa lipate hasara kiasi hicho?Ndg yangu mi pamoja na ufafanuzi wao wooote bado nashindwa kuwaelewa viongozi wetu bila kuwasahau wataalam pia. Kwann miaka yooote tunapata shida ya umeme na migao ya kufa mtu hawakuyafanya haya? Leo Rais akisema nimeshauriwa na wataalam wa China umeme huo ni ghali sana, ndo utabloo. Wanasiasa, wataalam na wafuasi wa mama wote utasikia wanavokupa data na analysis ya ughali wa umeme kutoka Ethiopia.
Nimepunguza tayar ndg wala hatugombani, maana ikishaamuliwa hata upasuke utekelezaji lazima ufanyike. Ni mawazo tu, hatuwezi kuwaza sawa. So kuwa na amani tuPunguza tu makasiriko kwanini unalazimisha Taifa lipate hasara kiasi hicho?
alivokuwa mbeya ndo kilimbandua ofisini hichoMh, tuhuma nzito.
Kwa hiyo ni bwana huyu anajezi ya Baltasar Engonga .
sbi dadaJamaa hana hiyo tabia ni uongo na uzushi
Duu kwa hiyo ukitoka Rufiji ni moja kwa moja hadi Kagera hata substations hakuna?Kafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.
Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Majibu ya hili swali wanayo tuwaulize kina mzee WASSIRA, CPA MAKALLA wasipo tupa jibu tumuulize mwenyekiti wa CCM TAIFA.Sasa shid Iko wapi Watanzania?
Kwamba Ethiopia ameweza kusambaza umeme ndani ya nchi yake, akavuka mpaka na kumletea mkenya, na sasa anauvusha kenya kuuleta Tanganyika. Huku Tanganyika imeshindwa kusambaza umeme ndani ya Tanganyika na imeona inunue umeme wa masafa marefu ambao wenyewe haupotei njiani maana una gps...Tz hauchukulii umeme ethiopia
Tz tunachukulia umeme wa ethiopia Namanga kenya . Ambapo kuna substation ilijengwa wakati ethiopia anamuuzia umeme kenya.
Hivyo kutoka Namanga to Arusha ni pafupi sana
Kama mtoto. Akilia utasikia njaa hiyo. Wanampa msosi analala.Huyu jamaa akishiba hasumbui kabisa. 😁
Dah amakweli ujinga ni mzigo. Yaani unakiri kabisa kuwa umeme kutoka Ethiopia ndio umefika kenya kuja Tanzania halafu unasema tena hatununui umeme Ethiopia.Tz hauchukulii umeme ethiopia
Tz tunachukulia umeme wa ethiopia Namanga kenya . Ambapo kuna substation ilijengwa wakati ethiopia anamuuzia umeme kenya.
Hivyo kutoka Namanga to Arusha ni pafupi sana
Unajua haka kajamaa na zitto kabwe huwa vinajiona kuwa vipo smart sana na ndio wana upeo mkubwa wa kufikiri kuliko mtu yoyote hapa Tanzania.Kafulila ni amekuwa Squealer wa kisasa. Nchi kama Norway na Sweeden wanategemea sana umeme wa maji. Wakati wa baridi maji huganda na uzalishaji hupungua hivyo wananunua nje. Kipindi cha kiangazi uzalishaji huongezeka na kuzidi hivyo huuza nje, win win. Hivyo hivyo kwa Marekani na Canada etec. Ndivyo power pools hufanya kazi. Na kwetu ingekuwa hivyo kama umeme mwingi tuupeleke Kenya kupitia Namanga, kama mchache ndiyo tununue. Lakini habari za kusema kupeleka umeme kaskazini ni gharama hivyo tutanunua wa Ethiopia uliotoka mbali zaidi ni usanii na kuna harufu ya ufisadi.
Kagulila kama hujui usijibu kiti.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Ni kweli usemayo MheshimiwaMkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Kama tatizo ni power loss kutokana na umbali wa kusafirisha kutoka Rufiji kwenda maeneo mengine ya nchi hii ikiwemo Arusha, inakuwaje hakuna power loss kutoka Ethiopia hadi Kenya hadi Arusha? Kinachostabilize umeme kutoka Ethiopia Hadi Namanga Kenya inashindikana nini kuwa installed katika transmission system zetu za Tanzania ili kusambaza umeme hapa nchini bila upotevu unaodaiwa?Tz hauchukulii umeme ethiopia
Tz tunachukulia umeme wa ethiopia Namanga kenya . Ambapo kuna substation ilijengwa wakati ethiopia anamuuzia umeme kenya.
Hivyo kutoka Namanga to Arusha ni pafupi sana
Pole kwa usumbufu ndg yanguNimepunguza tayar ndg wala hatugombani, maana ikishaamuliwa hata upasuke utekelezaji lazima ufanyike. Ni mawazo tu, hatuwezi kuwaza sawa. So kuwa na amani tu
HUYU ANA AKILI KWELI? Sasa sisi sababu yetu ya kununua umeme nje ni ipi?Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Machawa huwa yanatetea hata wasichokijua. Achana nao tuKama tatizo ni power loss kutokana na umbali wa kusafirisha kutoka Rufiji kwenda maeneo mengine ya nchi hii ikiwemo Arusha, inakuwaje hakuna power loss kutoka Ethiopia hadi Kenya hadi Arusha? Kinachostabilize umeme kutoka Ethiopia Hadi Namanga Kenya inashindikana nini kuwa installed katika transmission system zetu za Tanzania ili kusambaza umeme hapa nchini bila upotevu unaodaiwa?