Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Ajabu ya kujengwa Nyerere dam na kwenda kununua umeme nje ya nchi, taahira pekee ndio ataona si ajabu .viongozi mataahira wanaongoza nchi kwa Sasa 📢📢📢📢📢📢📢💀💀📢🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️
Unaishi Mkoa Gani na unaelimu gani?Ajabu ya kujengwa Nyerere dam na kwenda kununua umeme nje ya nchi, taahira pekee ndio ataona si ajabu .viongozi mataahira wanaongoza nchi kwa Sasa 📢📢📢📢📢📢📢💀💀📢🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️
Walinzi lazima kwenye chamaMkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Acha ushamba wewe mpumbavu nn??Unaishi Mkoa Gani na unaelimu gani?
Wengi wanaouchangia uzi huu ni mapimbi kama huyo jamaa, wamejaa siasa za kuhisi wanaibiwa. Tunaishi na unyonge kwa kushindwa kuwa na elimu pana za masuala mbalimbali.Unaishi Mkoa Gani na unaelimu gani?
Umeambiwa umeme unapotea njiani na ni hasara kwa shirika, ukichukuliwa pale Namanga kuna ukaribu na unakwenda kuhudumia sehemu kubwa ya mikoa ya kaskazini.Utetezi wa hovyo kabisa, mbona sukari, mbolea na bidhaa nyingine zinazopatikana kwa urahisi impala I zinapigwa marufuku, lakini umeme Jatakas tuone ni Sawa?
Lakini zaidi sana, kwani kutoka Rufiji mpaka Arusha ni mbali zaidi kuliko kutoka Ethiopia?au kutoka Ethiopia unakuja bila kujengwa miundombinu?
D.K. anamaanisha nini anaposema "ziada ya umeme"?Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Mkuu, don't argue with a fool!Unaishi Mkoa Gani na unaelimu gani?