Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hivi we naye una akili au? USA au nchi tajiri zinanunua ili wawe na reserve kubwa.Watanzania aliyetuloga alishafariki!
Mbona USA wana visima vya mafuta lakini bado wananunua mafuta!
Kafulila huwa akishiba, hasumbui kabisaKafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.
Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Lazima kujilinganisha na waliofaulu nadhani Yuko sawa kabisaAnailinganisha tz na germany na USA? Anaona watu ni watoto sio?
Acha upumbafu wewe jamaa au ndio michezo yako?Hivi huyu mzee siyo mtu wa upinde kweli?
Kama baba yako Mzee MboweKafulila ni tapeli haswa
Mbona umepanic sister?Acha upumbafu wewe jamaa au ndio michezo yako?
Waige na ushoga & usagaji basi wasibague...tuanzie na huyo huyo kafulila!Hizi ni sababu za zisizo na mantiki eti kwa kuwa fulani anafanya na sisi tufanye...tukienda hivyo tutahalalisha haramu nyingi kisa tu zinafanyika ulaya
Mbowe naye anatoka takwimu za kitapeli kama huyu tapeli?Kama baba yako Mzee Mbowe
The true meaning of stupid leader 👏Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Nilikaa Bukoba mwezi mzimaUg na hata hapo Bk umeme haukatikagi..
Enzi izo pale IHUNGO BOYS Kuna muda tulitamsni umeme ukstike ili tusiende prepo Ila umeme wa Uganda haukatikagi ukitokea umekatika Basi nikama OFF/ ON vile
Singing shule Hawa mnaenda kufanya nini ikiwa hata haya mambo madogo yanawashinda, yaani kuusafirisha umeme kutoka Ethiopia mpaka Arusha I’ve rahisi kuliko kuutoa Rufiji kwenda Arusha?K
Kwanza huo si utetezi ni ufafanuzi serikali haijashtakiwa mpk ijitetee
Ujinga umetawala bongo yaaniWatanzania aliyetuloga alishafariki!
Mbona USA wana visima vya mafuta lakini bado wananunua mafuta!
Tafadhali, soma kwa makini ulichoandika kisha fikiria kwa makini!!!! Unafikiri uko sahihi?Tz hauchukulii umeme ethiopia
Tz tunachukulia umeme wa ethiopia Namanga kenya . Ambapo kuna substation ilijengwa wakati ethiopia anamuuzia umeme kenya.
Hivyo kutoka Namanga to Arusha ni pafupi sana
Very true.Nilikaa Bukoba mwezi mzima
Umeme ulikatika mara moja tu na ukarudi. Mvua ilikuwa inanyesha