David Kafulila: Ajabu ni ipi Tanzania yenye ziada ya umeme kununua umeme?

Tangu lini Muha akawa na akili ,hawa wapumbavu sijui huwa wanawaokotea wapi ?
 
Wanatumia hoja ya kwamba power transmission system ya TANZANIA inasafirisha umeme ukiwa katika msongo mkubwa wa umeme wa mawimbi HVAC (High voltage alternating current ) tofauti na mfumo wa Ethiopia na Kenya wa HVDC (High voltage direct current ) yaani msongo mkubwa ukiwa katika umeme mnyoofu.ni kweli kwamba mfumo wa HVAC huwa kuna losess lakini si kwa scale ya exaggeration hiyo ya hawa wapuuzi wanasiasa wa Bongo na vilaza wao humo TANESCO na wizarani ,hawa ni majambazi wanaovizia deals za kufanya ufisadi hapo ,hamna kingine
By the way hizo losess bado haimake sense kujustify kununua umeme Kenya au Ethiopia ,huu ni ujinga ,hizo pesa za kununua huko umeme wangezitumia kufanya modification kwenye power transmission system ya grid yetu ya taifa huku umeme unaozalishwa humu ukatumika humu ,haimake sense useme unanunua umeme kwa jirani wakati unaweza zalisha umeme humu na hiyo pesa ukaitumia kufanya modification pole pole hata kama itakuwa ni kwa awamu
 
Hayo mataifa yote aliyoyatoa mfano huyo kafulila mjinga yanatumia mfumo huu huu wa HVAC power transmission tulio nao , upande Marekani , Australia ,Canada nk ni mfumo huu huu ndio wanao pia ,ingawa kuna baadhi ya sehemu umo katika hayo mataifa wanatumia HVDC system , tatizo la HVDC ni initial cost take ni kubwa kutokana na unahitajika kufunga power converters na stations ili kubadilisha umeme na hizo equipment na devices expensive ,hata hivyo pesa zinazotumika kwenye ufisadi na matumizi ya kishenzi ni nyingi maradufu kuliko gharama za kufanya modification Kwenye mifumo ya kusafirisha umeme kwa masafa marefu nchini ,na nini kazi ya serikali kama sio kuhudumia wananchi ? .
 
Na suala la nishati ni issue ya national security ,hakutakiwi kuwa na compromises za kisiasa za kijinga tu kwamba gharama, wtf is gharama ?
Gharama za kufanya mambo ya kisenge zipo ila za kujenga miundombinu ya kuhudumia nchi hamna
 
This is a case of the chickens coming home to roost.

1. Serikali imevundika ujinga kwa miaka mingi Tanzania kiasi watu hawawezi kufanya logical/critical thinking. Ujinga mwingi miongoni mwa raia. Hoja nyepesi tu kuichakata kazi.

2. Serikali yenyewe haiaminiki. Raia hawaiamini kwa sababu imefanya madudu mengi. Wananchi wanakwenda kwa methali ya "Ukishaumwa na nyoka, ukiona unyasi tu unastuka".

3. Kwa sababu ya 3 hapo juu, kila kitu kinatafsiriwa kwa muktadha wa siasa, tena siasa negative. By default. Before investigation.

4. Serikali yenyewe ina usiri mwingi, haitoi taarifa hata za kuisaidia yenyewe kutetea hoja zake. Inaficha kila kitu hata habari za kawaida. Inatoa fafanuzi ambazo zinahitaji fafanuzi zaidi. Hata pale kunapokuwa na hoja za msingi zinazoongelewa, zinaongelewa in a "by the way" style bila kuwa na comprehensive, consistent, documented way. RC Chalamila pamoja na uropokaji wake wote, to his credit, alishawahi ku set expectations kuwa hata baada ya bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado kutakuwa na changamoto nyingi za kusambaza umeme nchini. Kama kauli ile ya Chalamila ingefanyiwa kazi, ingeelezwa vizuri, kwa documentation, na consistency, serikali isingekuwa na tatizo hili la expectations kwa wananchi linaloonekana sasa.

5. Haya mambo si mepesi hata kwa watu wanaojipanga na kuwa makini. Kwa hawa viongozi wetu wasiojipanga wala kuwa na umakini hili ni janga zaidi.
 
Mkuu unajua sana
 
Tuchukulie Tumbili ana Mahindi gunia kumi toka ruvuma pale Tandale na bado haja ya uza , halafu anasikia kuna Mahindi mengine bei nafuu huko Tanga hivyo anaenda kuyanunua magunia 10 na kuwaweka pamoja na ya Yale ya ruvuma jumla ana gunia 20. Lakini mteja wake ana hitaji magunia 10. Utamshauri vipi Tumbili
 
Jibuni hoja haya maujinga hayasaidii
 
Jibuni hoja haya maujinga haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…