David Kafulila: Ajabu ni ipi Tanzania yenye ziada ya umeme kununua umeme?

Mqinjinia waongezewe kozi ya siasa uchwara. Mara ya mwisho kufuatilia kwa kuumiza kichwa masuala ya umeme nchini ilikiwa enzi za Mchungaji Engineer Mramba na Gesi. Tulupigwa sarakasi za kitaalam san
 
A
 
Ajabu ya kujengwa Nyerere dam na kwenda kununua umeme nje ya nchi, taahira pekee ndio ataona si ajabu .viongozi mataahira wanaongoza nchi kwa Sasa 📢📢📢📢📢📢📢💀💀📢🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️
 
Unaishi Mkoa Gani na unaelimu gani?
 
Walinzi lazima kwenye chama
 
Umeambiwa umeme unapotea njiani na ni hasara kwa shirika, ukichukuliwa pale Namanga kuna ukaribu na unakwenda kuhudumia sehemu kubwa ya mikoa ya kaskazini.

Sio kila kitu kukipinga tu, tunaishia kuonekana tuna agenda chafu zenye nia mbaya kwa kinachotegemewa kufanyika.
 
D.K. anamaanisha nini anaposema "ziada ya umeme"?
Naomba kujuzwa, kwani inawezekana ukazalisha umeme zaidi ya mahitaji yako? Umeme unaozidi unauweka wapi au unautunza vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…