David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

Hivyo vikao vya CCM kwenye ukumbi wa bunge vimepoteza mvuto hadi mnatumia PR !

Hivi kwa hali ilivyokuwa 2006 -2020 nani asingekuwa makini kufuatilia humu ??

Yani habari za bunge tunazikuta kwa chawa wa CCM !
Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na ndio maana wana wachagua wabunge wengi wa CCM kwenda Bungeni.maana wanajuwa hao ndio wenye kutetea maslahi yao ,tofauti na wapinzani hususani CHADEMA ambao wao huwa ni pinga pinga kwa kila kitu.
 
Huoni aibu chawa??
images (37).jpeg

IMG_20201028_173703.jpg
 
Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na ndio maana wana wachagua wabunge wengi wa CCM kwenda Bungeni.maana wanajuwa hao ndio wenye kutetea maslahi yao ,tofauti na wapinzani hususani CHADEMA ambao wao huwa ni pinga pinga kwa kila kitu.
Lakini ndio wanaisaidia serekali kufanya check and balance.....bila hivyo...Wabunge wa ccm ...... wakiulizwa jambo lolote ni ndiooooooo....... mpaka bunge limekosa mvuto wa kulisikiliza 😀 😀 😀
 
Unaowasifu unawachafua maana wengi wanachefuka na ujinga wako
 
Lakini ndio wanaisaidia serekali kufanya check and balance.....bila hivyo...Wabunge wa ccm ...... wakiulizwa jambo lolote ni ndiooooooo....... mpaka bunge limekosa mvuto wa kulisikiliza 😀 😀 😀
Wanaochagua ni watanzania.kwa hiyo nendeni kwa watanzania kuomba kura na kuwashawishi kwa hoja. Ila naamini hamtapewa kura maana ninyi sera zenu hazina maslahi yoyote kwa wapiga kura wala kugusa maisha ya watu.
 
ALiyekudanganya kwamba ukiandika insha ndefu JF unapata maksi nyingi alikupotosha
Kama huwezi kusoma maandishi nimekuwekea video utizame na kwenda kuwaonesha na kuwasimulia familia yako na watu wa mtaani kwako.
 
Back
Top Bottom