Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na ndio maana wana wachagua wabunge wengi wa CCM kwenda Bungeni.maana wanajuwa hao ndio wenye kutetea maslahi yao ,tofauti na wapinzani hususani CHADEMA ambao wao huwa ni pinga pinga kwa kila kitu.Hivyo vikao vya CCM kwenye ukumbi wa bunge vimepoteza mvuto hadi mnatumia PR !
Hivi kwa hali ilivyokuwa 2006 -2020 nani asingekuwa makini kufuatilia humu ??
Yani habari za bunge tunazikuta kwa chawa wa CCM !
Asante kwa ushauri wako na kutumia vyema jukwaa hili .Wewe mtu matumizi ya maneno sahihi kwa sehemu husika haujui.Huu mwezi wa likizo tafuta mwalimu aku-brush kiswahili sanifu.
Huoni aibu chawa??Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na ndio maana wana wachagua wabunge wengi wa CCM kwenda Bungeni.maana wanajuwa hao ndio wenye kutetea maslahi yao ,tofauti na wapinzani hususani CHADEMA ambao wao huwa ni pinga pinga kwa kila kitu.
Lakini ndio wanaisaidia serekali kufanya check and balance.....bila hivyo...Wabunge wa ccm ...... wakiulizwa jambo lolote ni ndiooooooo....... mpaka bunge limekosa mvuto wa kulisikiliza 😀 😀 😀Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na ndio maana wana wachagua wabunge wengi wa CCM kwenda Bungeni.maana wanajuwa hao ndio wenye kutetea maslahi yao ,tofauti na wapinzani hususani CHADEMA ambao wao huwa ni pinga pinga kwa kila kitu.
Luca........njoo huku..😀😀😀
Mimi siyo chawa bali ni mzalendo wa Taifa langu ninayependa kuwaunga mkono WAZALENDO wa Taifa letu aina ya Mheshimiwa KafulilaUkiendelea na uchawa wako ntakutia block
Kuna tatizo gani huku maana nimeshafika kijeshi .Luca........njoo huku..😀😀😀
Wanaochagua ni watanzania.kwa hiyo nendeni kwa watanzania kuomba kura na kuwashawishi kwa hoja. Ila naamini hamtapewa kura maana ninyi sera zenu hazina maslahi yoyote kwa wapiga kura wala kugusa maisha ya watu.Lakini ndio wanaisaidia serekali kufanya check and balance.....bila hivyo...Wabunge wa ccm ...... wakiulizwa jambo lolote ni ndiooooooo....... mpaka bunge limekosa mvuto wa kulisikiliza 😀 😀 😀
Hakuna asiye fahamu uzalendo, uchapa kazi,uadilifu na ujasiri wa Mheshimiwa Kafulila katika kutetea hoja zenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Unaowasifu unawachafua maana wengi wanachefuka na ujinga wako
Nimeguswa sana nakutamani kuona Mheshimiwa Kafulila akiingia bungeni hapo Mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.Vipi na ww uliguswa??
Naona umechanganyikiwa na kupata presha kubwa sana baada ya kuona mapokezi mazito sana aliyoyapata Mh David Kafulila Bungeni.Hao ndio chadema sio matakataka yenu ya uvccm
Mimi sina njaa bali huandika UKWELI bila hofu .Njaa mbaya sana
KAZI ni kipimo cha UTU
Kama huwezi kusoma maandishi nimekuwekea video utizame na kwenda kuwaonesha na kuwasimulia familia yako na watu wa mtaani kwako.ALiyekudanganya kwamba ukiandika insha ndefu JF unapata maksi nyingi alikupotosha
Ni dalili za mtu aliyechanganyikiwa akili.
Kasoma MEMKWA msamehe bure
Huyu mjinga hana akili hawezi kukuelewaWewe mtu matumizi ya maneno sahihi kwa sehemu husika haujui.Huu mwezi wa likizo tafuta mwalimu aku-brush kiswahili sanifu.