David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

Ni kawaida kwa mnafiki yoyote kuwa na vimaneno viingi sana chukulia hata mfano wa hawa malaya wa Bar akishaona meza imenona utapambwa sana hata ukijamba atajisemesha au kukuuliza haujamia?Au atasifia ushuzi unanukia vizuri ndio huyu Mwashamba ni mmoja kati ya vijana wapuuzi na wanaotakiwa kupingwa vikali kwa kusababisha tabia za kishoga hapa Nchini
Kama umeumia kunywa sumu UFE tu.maaana inaonekana wewe ni li Levi la bar ndio maana unaandika ujinga wako hapa.
 
Nadhani wanakumbuka jinsi ambavyo aliwaburuza wabunge wa CCM 2015-20 mpaka mwanasheria wa serikali wa wakati huo (Werema) akataka kurusha ngumi.
Wakati huo Kichwa cha Kafulila kilikuwa sawa na vichwa mia vya wabunge 200 wa CCM.
Mheshimiwa Kafulila ni akili kubwa na wakati wote amekuwa na msimamo ule ule wa kizalendo kwa Taifa letu..
 
Kwa watu wasiokuwa na exposure na washamba wa aina yako uko sahihi.
Ukubali ukatae ukweli ni kuwa CCM ndio tumaini la watanzania na chama kilicho na uwezo wa kuliongoza Taifa letu na likaendelea kutamalaki kwa amani na utulivu. CCM ndio chama kiwezemacho kumuwezesha kila mtu kutimiza ndoto zake na ndio chama kinacho aminika vizuri katika mioyo ya mamilioni ya watanzania
 
Tumaini la watu la kupora chaguzi za nchi ama?
 
CCM hupita kwa haki na ndio maana wananchi hushangilia matokeo na ushindi wa CCM na kubakia watulivu na wenye furaha na matumaini tele mioyoni mwao.
 
Utakuwa mzee ww, hiyo wananchi wa kushangilia ushindi wa ccm iliisha uchaguzi wa 2005. Baada ya hapo vyombo vya Dola ndio vimebaki nguvu ya ushindi wa ccm.
 
Nguvu ya ushindi wa kishindo wa CCM ambao imekuwa ikipata ni kutokana na uungwaji mkono na imani kubwa waliyonayo watanzania kwa CCM na serikali yake.
 
Nguvu ya ushindi wa kishindo wakati hata wapiga kura hawifiki 10M?! Uza ubongo huo dogo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Kuna kigogo mmoja alidiriki hata kumuita huyu mwamba "tumbili ". Huyo kigogo ashindwe na alegee.
 
Nguvu ya ushindi wa kishindo wakati hata wapiga kura hawifiki 10M?! Uza ubongo huo dogo maana unakaa nao kwa hasara.
Unasemaje? Au umelewa? Unafahamu tu mwakani kuwa idadi ya wapiga kura inakadiriwa kuwa milioni 39?
 
Back
Top Bottom