David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

Waheshimiwa wabunge wameguswa sana mpaka wengine wameshindwa kuficha hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Kafulila.nakujikuta wakipiga makofi kwa hisia kali sana huku macho yao yakiwa ni kama yanataka kutokwa na Machozi
Ila we jamaa unafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja, nitakuvizia mpaka nikuone ana kwa ana tupige japo story tu. Yaani kuna wakati unakera alafu unachekesha, hujui kupanic kabisa pamoja na maneno makali unayoporomeshewa kila kukicha.
 
Ila we jamaa unafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja, nitakuvizia mpaka nikuone ana kwa ana tupige japo story tu. Yaani kuna wakati unakera alafu unachekesha, hujui kupanic kabisa pamoja na maneno makali unayoporomeshewa kila kukicha.
Sina sababu ya kupaniki.ila wale ambao ukweli unawauma na kuwachoma ,ndio ambao wanapaniki sana na kuporomosha matusi.
 
Amelitetemesha bunge kiboyo la majizi ya kura!
Naona umechanganyikiwa sana ulipoona kishindo cha makofi ya waheshimiwa wabunge wakimpatia Mheshimiwa Kafulila,kama sehemu ya kuhitaji sauti yake ndani ya Bunge hapo Mwakani
 
Ni shangwe za kusanifu baada ya kumgongea mke wake mpk wakaachanishwa.
 
Kwa hiyo wewe jamaa kazi yako ni kusifiasifia tu wanasisiemu mbalimbali.
Angalau na siku moja msifie baba au mama yako kwa kukuzaa.
Unaonekana una mtindio wa ubongo wewe shoga
Nakusamehe sana maana naona umepaniki na kupata presha ya kuona kishindo cha Chuma Kafulila
 
Ni shangwe za kusanifu baada ya kumgongea mke wake mpk wakaachanishwa.
Wewe mwaka huu utakufa na wivu na chuki zako binafsi . Mheshimiwa Kafulila Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania na kuendelea kukubalika sana.na panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu tunategemea kumuona Bungeni hapo Mwakani.
 
Ni kwa kuwa kila uchwao Rais wetu Anaendelea kuungwa mkono,kupendwa na kukubalika sana na mamilioni ya watanzania
Nani anaukata mkono wa rais mpk uungwe kila uchwao? Hajiamini huyu chura, ndiyo maana kila katukio anapita nako.
 
Naona umechanganyikiwa sana ulipoona kishindo cha makofi ya waheshimiwa wabunge wakimpatia Mheshimiwa Kafulila,kama sehemu ya kuhitaji sauti yake ndani ya Bunge hapo Mwakani
Nimechanganyikiwa kuona makofi? Toka lini nikaangalia hilo bunge la majizi ya kura? Au unadhani Kila mtu anaona kuwepo hapo bungeni ni bonge la fahari?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa David Kafulila Ameamsha hisia, kuwagusa waheshimiwa wabunge na kuwarejesha mbali sana kihisia. Chuma Kafulila kaliteka Bunge, kalitetemesha na kalitikisa kwelikweli. Hii ni baada ya kutambulishwa Bungeni kama Mkurugenzi wa PPP na Mheshimiwa Speaker Dkt Tulia Acksoni Mwansasu.

Ambapo Bunge zima na wabunge wote na kwa Umoja wao wamempatia heshima kubwa na ya kipekee sana utafikiri utambulisho wa Mfalme wa Uingereza ndani ya Bunge. Ambapo imeshuhudiwa meza zoootee za waheshimiwa Wabunge zikilindima kwa kishindoo cha makofi ya kumpigia na kumpatia heshima ya kipekee Mheshimiwa Kafulila.

Bila shaka waheshimiwa wabunge wote bado wana kumbukumbu vichwani mwao juu ya alama alizoziacha za kizalendo, alizoziacha mzalendo huyu na mchapakazi aliyetukuka wakati wa ubunge wake 2010-2015.ambapo ni yeye amewahi kuweka historia ya kulifanya Bunge likafanya na kuendelea na shughuli zake mpaka saa Tano usiku katika Historia ya Bunge letu wakati wa sakata la Escrow.

Imeonyesha bunge zima na waheshimiwa wabunge wote wana kiu kubwa sana na kumhitaji Mheshimiwa Kafulila ndani ya Bunge, wanatambua uwezo wake, mchango wake na sauti yake kuwa bado inahitajika sana Bungeni wanaona ni kama kuna kitu kimepungua Bungeni kwa kutokuwepo kwa Mwamba huyu wa kigoma David Kafulila.

Waheshimiwa wabunge wanaona kuwa mtu huyu asiye na makandokando, Mzalendo wa dhati, mpole, mtulivu, makini, jasiri, shupavu, hodari, Madhubuti, imara, mnyenyekevu na mwenye misimamo ya dhati katika kutetea Taifa letu bado mchango wake unahitajika ndani ya Bunge letu.

Waheshimiwa wabunge wanaona kuna kazi Mheshimiwa Kafulila anatakiwa akasaidiane nao ndani ya Bunge ndio sababu ya heshima kubwa walioweza kumpatia,ndio sababu ya mapokezi mazito walioweza mpatia,ndio sababu ya kuguswa kwa wabunge wengi baada ya utambulisho wake, ndio sababu ya kumshangilia na kumpigia makofi bila kukoma ,ndio sababu ya kumheshimisha na kumpa thamani yake.

Waheshimiwa wabunge waliokuwepo na ambao hawakuwepo wakati wa sakata la Escrow wanakumbuka na wanakumbukunbu nzuri juu ya kazi kubwa, ya kishujaa na kizalendo kwa Taifa letu iliyofanywa na mheshimiwa David Kafulila aliyekuwa amejitolea maisha yake kupigania Taifa letu bila kujali vitisho kutoka kwa mtu yeyote yule.

Waheshimiwa wabunge wametuma kwa Vitendo ujumbe mzito sana juu ya Hazina hii kwa Taifa letu kuwa Bado sauti ya Mheshimiwa David Kafulila inahitajika sana Bungeni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3017339
Lile sio bunge ni tawi la chama cha mambuzi 😂😂,sio mm lkn niliewaita hivyo ni balozi wa China
 
Wewe ni mtanzania mjinga kuliko wote. Tambua hivyo na Watanzania watambue hivyo. Huwezi kutwa nzima unasifia matapeli . Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
Uoaneni walinda legacy 🆚 chawa 😂😂😂😆
 
Back
Top Bottom