Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #141
Kama umeumia kunywa sumu UFE tu.maaana inaonekana wewe ni li Levi la bar ndio maana unaandika ujinga wako hapa.Ni kawaida kwa mnafiki yoyote kuwa na vimaneno viingi sana chukulia hata mfano wa hawa malaya wa Bar akishaona meza imenona utapambwa sana hata ukijamba atajisemesha au kukuuliza haujamia?Au atasifia ushuzi unanukia vizuri ndio huyu Mwashamba ni mmoja kati ya vijana wapuuzi na wanaotakiwa kupingwa vikali kwa kusababisha tabia za kishoga hapa Nchini
Mheshimiwa Kafulila ni akili kubwa na wakati wote amekuwa na msimamo ule ule wa kizalendo kwa Taifa letu..Nadhani wanakumbuka jinsi ambavyo aliwaburuza wabunge wa CCM 2015-20 mpaka mwanasheria wa serikali wa wakati huo (Werema) akataka kurusha ngumi.
Wakati huo Kichwa cha Kafulila kilikuwa sawa na vichwa mia vya wabunge 200 wa CCM.
kuanzia leo naacha madame,Ukorofi utaacha lini
Kwa watu wasiokuwa na exposure na washamba wa aina yako uko sahihi.Hili ni bunge mahili na tumaini la watanzania
Kwanini usiwezekuanzia leo naacha madame,
sijui kama ntaweza lkn
ukorofi sometimes ni inborn character, yu dont learn it in uni.Kwanini usiweze
Ukubali ukatae ukweli ni kuwa CCM ndio tumaini la watanzania na chama kilicho na uwezo wa kuliongoza Taifa letu na likaendelea kutamalaki kwa amani na utulivu. CCM ndio chama kiwezemacho kumuwezesha kila mtu kutimiza ndoto zake na ndio chama kinacho aminika vizuri katika mioyo ya mamilioni ya watanzaniaKwa watu wasiokuwa na exposure na washamba wa aina yako uko sahihi.
Tena acha kabisa maana utakuwa unajitafutia matatizo makubwa sana.utapigwa na usijuwe umepigwa na nani na kutokea wapi . Acha kabisa mazoea kwa ephenkuanzia leo naacha madame,
sijui kama ntaweza lkn
Asante
Tumaini la watu la kupora chaguzi za nchi ama?Ukubali ukatae ukweli ni kuwa CCM ndio tumaini la watanzania na chama kilicho na uwezo wa kuliongoza Taifa letu na likaendelea kutamalaki kwa amani na utulivu. CCM ndio chama kiwezemacho kumuwezesha kila mtu kutimiza ndoto zake na ndio chama kinacho aminika vizuri katika mioyo ya mamilioni ya watanzania
CCM hupita kwa haki na ndio maana wananchi hushangilia matokeo na ushindi wa CCM na kubakia watulivu na wenye furaha na matumaini tele mioyoni mwao.Tumaini la watu la kupora chaguzi za nchi ama?
Mi msema kweli. Kwani uongo? Mbona yanasemwa kwenye korido.Endelea na ujinga wako
Utakuwa mzee ww, hiyo wananchi wa kushangilia ushindi wa ccm iliisha uchaguzi wa 2005. Baada ya hapo vyombo vya Dola ndio vimebaki nguvu ya ushindi wa ccm.CCM hupita kwa haki na ndio maana wananchi hushangilia matokeo na ushindi wa CCM na kubakia watulivu na wenye furaha na matumaini tele mioyoni mwao.
Nguvu ya ushindi wa kishindo wa CCM ambao imekuwa ikipata ni kutokana na uungwaji mkono na imani kubwa waliyonayo watanzania kwa CCM na serikali yake.Utakuwa mzee ww, hiyo wananchi wa kushangilia ushindi wa ccm iliisha uchaguzi wa 2005. Baada ya hapo vyombo vya Dola ndio vimebaki nguvu ya ushindi wa ccm.
Labda korido za kwako hapo unaposhinda ukipiga umbeya kutwa nzima.Mi msema kweli. Kwani uongo? Mbona yanasemwa kwenye korido.
Nguvu ya ushindi wa kishindo wakati hata wapiga kura hawifiki 10M?! Uza ubongo huo dogo maana unakaa nao kwa hasara.Nguvu ya ushindi wa kishindo wa CCM ambao imekuwa ikipata ni kutokana na uungwaji mkono na imani kubwa waliyonayo watanzania kwa CCM na serikali yake.
Unasemaje? Au umelewa? Unafahamu tu mwakani kuwa idadi ya wapiga kura inakadiriwa kuwa milioni 39?Nguvu ya ushindi wa kishindo wakati hata wapiga kura hawifiki 10M?! Uza ubongo huo dogo maana unakaa nao kwa hasara.