David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

Unasemaje? Au umelewa? Unafahamu tu mwakani kuwa idadi ya wapiga kura inakadiriwa kuwa milioni 39?
Tazama idadi ya sensa Kuna watu wangapi, halafu useme Kuna uwezekano gani wa watu walio juu ya miaka 18 kuwa wengi kuliko walio chini ya umri huo. Ukishajua ndio uje uendelee kutetea huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Samia
Tulia
Makonda
Kafulira
🔥🔥
 
Tazama idadi ya sensa Kuna watu wangapi, halafu useme Kuna uwezekano gani wa watu walio juu ya miaka 18 kuwa wengi kuliko walio chini ya umri huo. Ukishajua ndio uje uendelee kutetea huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Naona kumbe huwa nina bishana na mbumbumbu.kumbuka walio hata na miaka 17 mwaka huu wanaandikishwa kupiga kura mwakani kwa kuwa watakuwa na miaka 18
 
Naona kumbe huwa nina bishana na mbumbumbu.kumbuka walio hata na miaka 17 mwaka huu wanaandikishwa kupiga kura mwakani kwa kuwa watakuwa na miaka 18
Ukitaka kujua huo uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine na watu wanaojitambua hawana mpango nao, subiri uone idadi ya watakaojiandikisha itakavyokuwa ndogo na ya kusuasua.

Na kwenye uchaguzi kutakuwa na wapiga kura wachache sana. Na sababu hasa ni ccm kushurutisha kubaki madarakani bila ridhaa.
 
Endeleeni kupiga Ramli wakati CCM ikiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
 
Mngekuwa na support ya mamilioni ya watanzania tusingeshuhudia chaguzi za kihayawani vile.
CCM tunaungwa mkono na mamilioni ya watanzania,ndio maana tumekuwa tukichaguliwa katika kila uchaguzi
 
Kuhama chama Tanzania nikama criminal case hivi,tatizo liko wapi mtu akihama chama?
 
Kwa tume ipi ya uchaguzi, ama unadhani hatuoni ushenzi unaofanyika kwenye chaguzi zetu?
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Chukua muda wako kusoma na kujifunza uwe updated na mambo yakisasa hizi propaganda unazofanya ni za kizamani sana ndio mana unatumia nguvu nyingi sana kama chawa ukiongeza maarifa hiki unachofanya kinaweza kubadili maisha yako ila ukiendelea hivi na content mfu unakua unaonekana kama crazy hivi na watu wanakuchoka hivyo soma sana ili ufanye hizi kazi za propaganda kwa tija
 
Na hio ndio kazi ya hawa wawakilishi wa wananchi kuwa cheer leaders ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…