Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #161
Mheshimiwa David Kafulila ni Hazina kwa Taifa letu.Kuna kigogo mmoja alidiriki hata kumuita huyu mwamba "tumbili ". Huyo kigogo ashindwe na alegee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa David Kafulila ni Hazina kwa Taifa letu.Kuna kigogo mmoja alidiriki hata kumuita huyu mwamba "tumbili ". Huyo kigogo ashindwe na alegee.
Tazama idadi ya sensa Kuna watu wangapi, halafu useme Kuna uwezekano gani wa watu walio juu ya miaka 18 kuwa wengi kuliko walio chini ya umri huo. Ukishajua ndio uje uendelee kutetea huo upuuzi uitwao uchaguzi.Unasemaje? Au umelewa? Unafahamu tu mwakani kuwa idadi ya wapiga kura inakadiriwa kuwa milioni 39?
Hivi unavyomsifia hukawahii hata kumpa jicho.Mheshimiwa David Kafulila ni Hazina kwa Taifa letu.
Naona umepaniki mpaka umeanza kuwewesekaHivi unavyomsifia hukawahii hata kumpa jicho.
SamiaNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Ameamsha hisia, kuwagusa waheshimiwa wabunge na kuwarejesha mbali sana kihisia. Chuma Kafulila kaliteka Bunge, kalitetemesha na kalitikisa kwelikweli. Hii ni baada ya kutambulishwa Bungeni kama Mkurugenzi wa PPP na Mheshimiwa Speaker Dkt Tulia Acksoni Mwansasu.
Ambapo Bunge zima na wabunge wote na kwa Umoja wao wamempatia heshima kubwa na ya kipekee sana utafikiri utambulisho wa Mfalme wa Uingereza ndani ya Bunge. Ambapo imeshuhudiwa meza zoootee za waheshimiwa Wabunge zikilindima kwa kishindoo cha makofi ya kumpigia na kumpatia heshima ya kipekee Mheshimiwa Kafulila.
Bila shaka waheshimiwa wabunge wote bado wana kumbukumbu vichwani mwao juu ya alama alizoziacha za kizalendo, alizoziacha mzalendo huyu na mchapakazi aliyetukuka wakati wa ubunge wake 2010-2015.ambapo ni yeye amewahi kuweka historia ya kulifanya Bunge likafanya na kuendelea na shughuli zake mpaka saa Tano usiku katika Historia ya Bunge letu wakati wa sakata la Escrow.
Imeonyesha bunge zima na waheshimiwa wabunge wote wana kiu kubwa sana na kumhitaji Mheshimiwa Kafulila ndani ya Bunge, wanatambua uwezo wake, mchango wake na sauti yake kuwa bado inahitajika sana Bungeni wanaona ni kama kuna kitu kimepungua Bungeni kwa kutokuwepo kwa Mwamba huyu wa kigoma David Kafulila.
Waheshimiwa wabunge wanaona kuwa mtu huyu asiye na makandokando, Mzalendo wa dhati, mpole, mtulivu, makini, jasiri, shupavu, hodari, Madhubuti, imara, mnyenyekevu na mwenye misimamo ya dhati katika kutetea Taifa letu bado mchango wake unahitajika ndani ya Bunge letu.
Waheshimiwa wabunge wanaona kuna kazi Mheshimiwa Kafulila anatakiwa akasaidiane nao ndani ya Bunge ndio sababu ya heshima kubwa walioweza kumpatia,ndio sababu ya mapokezi mazito walioweza mpatia,ndio sababu ya kuguswa kwa wabunge wengi baada ya utambulisho wake, ndio sababu ya kumshangilia na kumpigia makofi bila kukoma ,ndio sababu ya kumheshimisha na kumpa thamani yake.
Waheshimiwa wabunge waliokuwepo na ambao hawakuwepo wakati wa sakata la Escrow wanakumbuka na wanakumbukunbu nzuri juu ya kazi kubwa, ya kishujaa na kizalendo kwa Taifa letu iliyofanywa na mheshimiwa David Kafulila aliyekuwa amejitolea maisha yake kupigania Taifa letu bila kujali vitisho kutoka kwa mtu yeyote yule.
Waheshimiwa wabunge wametuma kwa Vitendo ujumbe mzito sana juu ya Hazina hii kwa Taifa letu kuwa Bado sauti ya Mheshimiwa David Kafulila inahitajika sana Bungeni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3017339
Naona kumbe huwa nina bishana na mbumbumbu.kumbuka walio hata na miaka 17 mwaka huu wanaandikishwa kupiga kura mwakani kwa kuwa watakuwa na miaka 18Tazama idadi ya sensa Kuna watu wangapi, halafu useme Kuna uwezekano gani wa watu walio juu ya miaka 18 kuwa wengi kuliko walio chini ya umri huo. Ukishajua ndio uje uendelee kutetea huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Ukitaka kujua huo uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine na watu wanaojitambua hawana mpango nao, subiri uone idadi ya watakaojiandikisha itakavyokuwa ndogo na ya kusuasua.Naona kumbe huwa nina bishana na mbumbumbu.kumbuka walio hata na miaka 17 mwaka huu wanaandikishwa kupiga kura mwakani kwa kuwa watakuwa na miaka 18
Endeleeni kupiga Ramli wakati CCM ikiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.Ukitaka kujua huo uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine na watu wanaojitambua hawana mpango nao, subiri uone idadi ya watakaojiandikisha itakavyokuwa ndogo na ya kusuasua.
Na kwenye uchaguzi kutakuwa na wapiga kura wachache sana. Na sababu hasa ni ccm kushurutisha kubaki madarakani bila ridhaa.
Ungeenda hata shule. Umbeya ndo nini? Ni umbea dogo. Ndo maana unajishikiza tu kwa wanaume kupiga umbea siku zote na kujipendekeza.Labda korido za kwako hapo unaposhinda ukipiga umbeya kutwa nzima.
Mimi sijipendekezi na sina sababu ya kujipendekeza zaidi ya kusema ukweli tu.Ungeenda hata shule. Umbeya ndo nini? Ni umbea dogo. Ndo maana unajishikiza tu kwa wanaume kupiga umbea siku zote na kujipendekeza.
Mamilioni ya watanzania au mamilioni ya mabox ya kura za wizi?Endeleeni kupiga Ramli wakati CCM ikiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Mamilioni ya watanzaniaMamilioni ya watanzania au mamilioni ya mabox ya kura za wizi?
Mngekuwa na support ya mamilioni ya watanzania tusingeshuhudia chaguzi za kihayawani vile.Mamilioni ya watanzania
CCM tunaungwa mkono na mamilioni ya watanzania,ndio maana tumekuwa tukichaguliwa katika kila uchaguziMngekuwa na support ya mamilioni ya watanzania tusingeshuhudia chaguzi za kihayawani vile.
Kuhama chama Tanzania nikama criminal case hivi,tatizo liko wapi mtu akihama chama?Tatizo la vijana wa Tanzania wakisifu wanasifu mpaka kupitiliza, mpaka unajiuliza kunanini? Hivi kafulila kazaliwa leo Tanzania?
Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema Ijumaa, Desemba 16, 2016
SAFARI YA KISIASA YA DAVID KAFULILA BADO YAENDELEA, AIHAMA TENA CHADEMA
November 22, 2017
KAFULILA AHAMIA CCM
Baada ya kutangaza kujivua uanachama wa CHADEMA siku Jumatano, David Kafulila leo amekabidhiwa kadi ya CCM.
Kafulila amekabidhiwa kadi ya CCM na Katibu Mwenezi wa CCM, ndg Humphrey Polepole katika mkutano wa kumnadi mgombea wa udiwani wa chama hicho, Kata ya Mbweni jijini Dar es salaam.
Hapo awali Kafulila aliwahi kuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendelo kisha kufuzwa baadae akajiunga na Chama cha NCCR Mageuzi ambapo alifanikiwa kuwa Mbunge wa Kigoma Kusini mwaka 2010-2015 na baadaye kurudi tena Chadema 2016 na hapo juzi jumatano alitangaza kukihama chama hicho kwa madai upinzani hauna nia ya kupambana na ufisadi.
Kwa tume ipi ya uchaguzi, ama unadhani hatuoni ushenzi unaofanyika kwenye chaguzi zetu?CCM tunaungwa mkono na mamilioni ya watanzania,ndio maana tumekuwa tukichaguliwa katika kila uchaguzi
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaKwa tume ipi ya uchaguzi, ama unadhani hatuoni ushenzi unaofanyika kwenye chaguzi zetu?
Ulienda kusomea ujingaNimepiga shule vizuri na kumaliza madarasa yote
Chukua muda wako kusoma na kujifunza uwe updated na mambo yakisasa hizi propaganda unazofanya ni za kizamani sana ndio mana unatumia nguvu nyingi sana kama chawa ukiongeza maarifa hiki unachofanya kinaweza kubadili maisha yako ila ukiendelea hivi na content mfu unakua unaonekana kama crazy hivi na watu wanakuchoka hivyo soma sana ili ufanye hizi kazi za propaganda kwa tijaNdugu zangu Watanzania,