Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

Hoja hujibiwa kwa hoja, acheni matusi mujibuni huyu Kafulila kwa hoja, kumbukeni matusi yenu hayatawafanya muingie Ikulu, hapo ndipo wapinzani mnapokwama.
 
Hawana hoja ya kumjibu Kafulila kwa sababu wengi wao ni wale waliopigwa chini kwa vyeti fake!
 
Bukoba atapata kura karibu zote, jitekenye na kucheka mwenyewr
 
Hakuna kiti kama hicho.
Mtukufu mwenyekiti wa CCM lazima awe mpole kwani vyombo vya uchunguzi vya kimataifa wakiwemo Scotland Yard, FBI, CIA, wapelelezi wa mahakama ya uhalifu The Hague wapo Tanzania wanamchunguza kwa siri kuorodhesha madhambi yake yote
 
Njaa mbaya sana.
 
Kwa uandishi huu siwezi kukushangaa. Hata hayo maisha unayosema mazuri Ni kutojitambua tu kwamba maisha mazuri yanatakiwa yaweje! Pole !

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
POROJO TUPU EBU SEMENI KWA MIAKA 60 MUMEFANYA NINI LAAMAANA NA NCHI IMESHEHENI RASILIMALI ZISIZO KUWA NA IDADI POROJO HATUTAKIIIIIIIIIIIIIIIII IVI JIYE NI VIZIWI HAMUSIKII
 
Naona Wana CCM tujipange naona Tundu Lissu ametushika pabaya. Tupangue hoja zake.
 
Kafulila is one of the smartest guys waliopo kwenye system ya Nchi yetu. Aliwahi kumuaibisha Profesa mmoja Bungeni siku moja. Huyu mtu yuko smart siyo kawaida,,,,,,, I like smart people

Mimi nashauri kuwa JPM wala asijaribu kabisa hata siku moja kujibu hoja za wagombea wenzake, yeye ajikite tu katika kutangaz ilani yake ya uchaguzi tu basi! JPM kama Rais ambaye tayari ameshakaa madarakani miaka mitano, ameshaondoka kwenye hadhi ya majibizano ya hoja za namna hii, hizi atuachie sisi wanachi tutaendelea kuzijadili mitaani kwetu
 
Naunga mkono hoja,japo ana madhaifu yake JPM,ila kwa level za kibongobongo,hasa ukianaglia idadi ya wajinga wengi walio nchini,aliyoyafanya kwa vitendo hii miaka mitano kuna kura ashajiakikishia.
Kafulila ni mzuri kama mpo wote kambi moja ,ila ni kichomi kama mpo kambi pinzani,hoja zake nyingi ni ngumu kuzipindua maana zote ni fact!
Namuomba JPM ampe nafasi nzuri kwenye awamu ya sita
 
Ukosefu wa elimu ya ujasiriamali ndiyo tatizo kubwa kwenu, soma kuhusu mjasiriamali na mambo yanayo mzunguka nyie mnadhani mnaokoa pesa wakati mna sababisha watu wawe masikini kodi zinatokana na wafanyakazi na kuchangamka kwa biashara huwezi kupanga muendelezo wa biashara kwa sera za majukwaani ambazo hazidumu na hazina sheria na kanuni za kuzisimamia. Read these two lessons in entrepreneuship 'cost benefit conscious and an entrepreneur and his enviroments'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…