Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

Namshauri Lissu asijibizane na haka katumbili katapata kiki
 
Wajinga nchini kwetu hawapo ni tofauti tu za kiitikadi tulizonazo, Mungu ametupatia Nchi nzuri na anaipenda sana, hawezi kuwa aliweka baadhi ya wajinga ndani yake. Tanzania watu wa aina hiyo hawapo, mimi naamini hivyo. Mungu azidi kuitunza amani yetu. Ni kweli kabisa Kafulila yuko smart sana, mtu huhitaji kuwa unajua kusoma na kuandika kuweza kuliona hilo. Huyu hawezi tena kuwa nje ya system ya nchi maisha yake yote yaliyo mbele yake, unless iwe ni kwa sababu ambazo kwa layman kama mimi sipaswi kuzifahamu
 
Ndio maana zitto alipomkosa kafulila Act alilia sana JPM muongeze kafulila kwenye timu la wana anakaba kshambulia na kufunga anapiga miguu yote!
Jamaa ako kama Lewandowski amefunika hadi messi msimu huu, lazima tumzawadie bollon d'or .🙌
 
Nimekuelewa mkuu. Sidhani kama umenielewa ktk comment yangu sina tatizo na hoja yako lkn nna tatizo na kuniambia mzunguko wa pesa ulikua mkubwa kipind mafisadi hatuwafahamu kiundani alaf kuna mtu mtaan anasema bora maisha yale. Mabadiliko lazima hata ichukue miaka 5000 lkn pia hata hawa wanaotusumbua pia walazimike kubadilika.
 
Lisu hana hoja kabisa za kiuchumi!

Ukiangalia hata hiyo wanayosema ni ilani, walichokifanya wametembelea kwenye madhaifu ya magufuli na kufanya hizo ndio ziwe sera zao!

Katika vyama vyote vinavyogombea mwaka huu ni ACT pekee ndio unaweza kuona wana ilani inayoeleweka na wako serious.

Hawa chadema tuwaache waendelee kupigania ruzuku tu.
 
Punguza mihemko, aliyesema hawezi kukosea ni nani, kabla ya kujibiwa vizuri ungesema unafanya vizuri kwenye kitu gani ili upate majibu yanayokufaa vizuri
 
Sasa mkuu tumeanza kuelewana' ukiwa na fikra huru kuna urahisi sana wa kupambanua na kuelewa uhalisia wake ila ngumu sana majority kuelewa mawazo yako kwa sauti na inaumiza pia kwani mabadiliko unayaona ila ni wachache wenye mtizamo sawa.
 
Acheni kupotosha, alisema Serikali haiwezi kuvunja ile mikataba ya madini hata kama haina maslahi mazuri kwa nchi, aliwashauri wakae chini waongee na siyo kutunga sheria za kubatilisha hiyo mikataba. Na alichosema ndicho kilichotokea, ni mkataba upi tuliweza kuvunja
Kwani Lissu ana nini ? Si alisema kwenye suala la madini tutashitakiwa MIGA, je, tulushitakiwa ? Huyo ni wa kawaida sana tu.
 
Punguza mihemko, aliyesema hawezi kukosea ni nani, kabla ya kujibiwa vizuri ungesema unafanya vizuri kwenye kitu gani ili upate majibu yanayokufaa vizuri
Acha kufokafoka na jazba siasa inahitaji facts sio hasira.
Ninayofanya vizuri na anakofanya vizuri Tundu au wewe bila kuwa na utu na uzalendo hakutupi uhalali wa kuwa bora kuliko watu wengine
 
Siasa za bongo noma kweli et sasa hivi Kafulila anaonekana anajipendekeza na kutaka kuteuliwa,e t anaongea pumba!

Yani watu watu hawaangalia ulichoongea bali wanangalia ni nani kaongea na misimamo yake/chama chake,kile utakachoongea wengine wataona pumba kwa sababu wewe si upande wao na wengine wataona ni hoja za maana sababu tu upo upande wake na uliyoongea ndio anayotaka kuyasikia.
 
UNATAFUTA KURUDISHIWA U-RAS KWA BIDII, ETI?
 
Wakina kafulila ndo wanapaswa kumjibu Lissu,JPM anahadhi kubwa sana,atakiwi kukaa na kuanza kujibu hoja za zezeta mropokaji ambae dishi limeyumba.
TUWEKEENI MDAHALO KATI YA MTAALAMU MAGU NA ASIYEJUA KITU LISSU, TUONE NANI YUKO JUU YA MWENZAKE KWA UELEWA WA MAMBO YA SHERIA, UONGOZI, UTAWALA NA DIPLOMASIA. MAAANA HAYO NI MUHIMU SANA KWA KIONGOZI MKUBWA WA NCHI.
 
Huyo kibaraka wenu mnadhani atawaletea maisha mazuri? Hawezi kutumikia mabwana wawili Kwa wakati mmoja, mara 1000 nimpe Membe kuliko Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…