Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

Unakuta huyu mtu, alichoandika hakiishi ila anakomaa kwa jina la utakatifu wa MATAGA.
Acha upuuzi, binafsi nimetembea maeneo ya vijijini nchi hii karibia naweza kusema jwa takribani asilimia hamsini.
Nimeona watu waliopambana na shughuli hizo toka ujana mpaka uzee wao wakiishi maisha ya dhiki:hawana maji safi:yakiwepo yako mbali,wanatumia nishati duni;kuni na mkaa.
Mazingira magumu ya upatikanaji wa elimu kama shule haiko mbali basi miundombinu haitoshi na walimu hawatoshi.
Upande wa afya ndio kabisaa.
Sasa tunaangalia majority wanaishi vipi,sio wachache waliopata nafuu tena pengine kwa njia za "bahati bahati".
Next time ndugu " tajiri-ng'ombe" tuliza kichwa kabla haujaandika...unaita watu wavivu ni matusi hayo kwa watanzania wenzako.
 
TUWEKEENI MDAHALO KATI YA MTAALAMU MAGU NA ASIYEJUA KITU LISSU, TUONE NANI YUKO JUU YA MWENZAKE KWA UELEWA WA MAMBO YA SHERIA, UONGOZI, UTAWALA NA DIPLOMASIA. MAAANA HAYO NI MUHIMU SANA KWA KIONGOZI MKUBWA WA NCHI.
Lissu hana oja hana mapito ya sera,akikaa mdahalo na JPM ataongea nini bwashee?
Sera za wapinzani miaka yote huwa ni ufisadi na rasilimali kama madini,baas.uko wapinzani awagusi tena kwa kuwa wameona kazi nzuri ya JPM upande huo.

Lissu awezi kusema ni jinsi gani ataweza kuongeza pato la taifa.
ni jinsi gani ataweza kupunguza deni la taifa badala yake analaumu tu kisha anawaacha,hawezi kutoa alternative nini yeye atafanya kwa upande huo akiwa Rais.

kutoa sera ni kipaji na Lissu hana uouwezo.upande wa upinzani mpaka sasa wenye uwezo wa kudadavua mambo na kutoa suluhisho ni:
Bob Rashid Makani R.I.P.
Lipumba.
Zito.
Dr.Slaah.
 
Kafulila anaitafuta nafasi ya Pole pole au Abasi labda wamefeli
 
SAWA, LAKINI MIMI SITAKI UNISIMULIE AU UMSEMEE MTU. NATAKA NIONE MWENYEWE LISSU ANAVYOCHEMKA MBELE YA HUYU NDULI IDD AMIN
 
Analipa fadhila...Can't you see?
 
Kafulira kafulia kweli. Walikuwepo waliomtetea Idi Amino na Sera zake, walikuwepo waliowatete viongozi dharimu wenye Sera mbofu, ilimradi spate tongue na familia yake.
Walikuwepo waliomtetea Adolf Hitler na Sera sake mbovu na udharimu wake mkubwa. Walijua anafanya makosa, ila waliunga mkono, njaa zao. Hata hapa Tanzania ndo hawa akina Kafulira. Njaa mbaya sana. Wanajua hii serekali ni ubabe mtupu na kiburi. Mishahara kupandisha taabu. Kila mmoja anahofu ya kushughulikiwa.
 
Acha kufokafoka na jazba siasa inahitaji facts sio hasira.
Ninayofanya vizuri na anakofanya vizuri Tundu au wewe bila kuwa na utu na uzalendo hakutupi uhalali wa kuwa bora kuliko watu wengine
Kachezee koki kwanza naona unakosa stability kwenye madai yako
 
SAWA, LAKINI MIMI SITAKI UNISIMULIE AU UMSEMEE MTU. NATAKA NIONE MWENYEWE LISSU ANAVYOCHEMKA MBELE YA HUYU NDULI IDD AMIN
JPM anaouwezo wa kukaa mdahalo na wagombea wote wa Urais sio Lissu pekeyake.
wapo wagombea wanaoweza kumchesha JPM kwa hoja lakini sio Lissu bwashee.
Lissu ataanza lawama za kupigwa kwake risasi bila kudadavua kupigwa kwake risasi kunamuhusu vipi mkulima,mfugaji na mfanyabiashara au hata raia wa kawaida ili angalau na wao waone kuna umuhimu wa kumchagua.
 
Hana hana hawezi kuwa nao..yaan Kama atakubari bc tutegemee aibu ya karne ... magufuri hana uwezo wa kufanya mdahalo na watu jasiri na wasio na uoga Kama lissu ...tutegemee Tv kuzimwa kupisha aibu
 

Kawaambie watoto wa Mwinyi , Kikwete na viongozi wengine wa CCM wanaogombea Uraisi na Ubunge wakajiajiri kwenye kilimo na ufugaji kama wewe
 
Akiendeleza juhudi zake kama hivi watamkumbuka tu mkuu.

Bora Makonda yeye hajui kubishana mambo ya uchumi,yeye baada ya kupigwa chini na wajumbe ameamua bora tu awe anapost khs kupata watoto mapacha basi.
Kweli huyo kafulia.
 
Kawaambie watoto wa Mwinyi , Kikwete na viongozi wengine wa CCM wanaogombea Uraisi na Ubunge wakajiajiri kwenye kilimo na ufugaji kama wewe
Dunia nzima huwa haikosi watoto Wa ivyo kama hukuzaliwa kwenye familia ya Hivyo Basis njenga Yakoo ukiwa na juhudu kujituma na kuamini kuwa unaweza hakuna serikali inayoweza kuwa pingamizi kwako sio Lissu wala sio Magufuri atakae Fanya ndoto ya maisha yakoo itimie ni wewe mwenyewe
 
Kwa uandishi huu siwezi kukushangaa. Hata hayo maisha unayosema mazuri Ni kutojitambua tu kwamba maisha mazuri yanatakiwa yaweje! Pole !

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Ulitaka Niandike Tundu Lissu ndie Anaweza kutuletea maisha Bora Hahaha Sins utindio Wa Ubobgo kuamini kuwa Masha Bora huletwa na viongozi Wa kisiasa ninachoamini Mimi in hicho
 
Kafulila tumbo hilo la kiusaliti litakuua
 

Kumbe ndiyo hivyo ? Kwa hivyo usiwaaambie watoto wa kimasikini tu hata hao watoto wa vigogo uwaeleweshe kwani mitaji wanayo tayari kutoka kwa wazee wao
 
Baada ya kuona ubungo awapiti sababu ya hasira za watu kubomolewa nyumba xao kwa kuhisiwa wote ni wachaga wakaamua kuwaengua wapinzan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…