Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

Labda Kafulila atakumbukwa kupewa umeneja wa uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma
 
Hapo kwenye kutenga fedha ndipo penye kazi kubwa, fedha inatengwa but kiasi tolewa ni kidogo sana, hospitali zina changamoto kubwa sana ya upungufu was dawa.
 
Bwana Mdogo weka akiba bya maneno ...hivi unajua kuwa wewe Sasa umtegemea Jesca !
Sisi ndio tunamlipa mshร avujue!
 
Hivi huyu kafulila alishawahi hata kuhoji ni nani alipaswa kumtoa roho Lissu?

Njaa zake tu?

Haya basi subiria uteuzi.
Kwanini huyo lisu kama anajua kunamtu alitaka kumtoa roho, mbona ajamshitaki?
Anakwama wapi kumpeleka mahakamanii mtu huyo alie takakumtoa roho?
 
Jibu hoja,
Acha kupindisha mambo!
๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
 
Kafulila aende akajiajiri aache kuzusha mambo ya kipuuzi ili avutie attention ya Magufuli kusudi apate tena uteuzi.
 
Tumbili kaibukia huku? Jiulize kwa nni wajumbe walilala naye mbele?
 
kwa takwimu kafulila nimekuheshimu hata km ikitokea mahala amezungumza yasiyo halisi. Lakini kwa hilo la takwimu salute bro mm binafsi nakuelewaga sana tu
 
Hujajibu hoja za "tumbili", umerukaruka kama maharage yanayopikwa.
 
Nimepitia majibu ya UFIPA, hakuna jibu hata moja ufipani wameweza kutoa, hivi kumbe huko hamna watu intelectual kujibu hoja, zaidi ni matusi tu...jiwe limerushwa na Kafulila, nasikia tu yallah!!
 
Bila kuangalia nani amemjibu Tundu kilichojibiwa ni elimu tosha kwa anayetaka kuelewa.
Hoja zinatakiwa kujibiwa zikiwa na uthibitisho, sio matusi na blah blah tuu
Haya majibu yanamaanisha aliyejibu anajua
Umemaliza kila kitu badala ya kumuattack personal wajibu hojs zake Tena kwa takwimu Kama alizotoa yeye tofauti na hapo Kafulila atakuwa mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ