mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Umemaliza kila kitu badala ya kumuattack personal wajibu hojs zake Tena kwa takwimu Kama alizotoa yeye tofauti na hapo Kafulila atakuwa mshindi
Amini nakuambia kila mtu anaichukia CCM ya sasa anaichuki kwa sababu zake binafsi, either amekosa safari za nje, au amekosa seminar za ndani na za nje, rushwa iliyokua imehalalishwa, au mfumo wa awamu hii umesababisha biashara zake, kazi, au vitega uchumi visivyokua na maslahi kwa taifa kufa, ila wanakuja kuunganishwa na kitu kimoja tuu kwamba sababu ya kukosa maslahi ni Magufuli; ndio maana hata ukiwauliza hawana majibu ya kuridhisha na wengi wanaishia kutoa matusi na kufoka.
Tanzania ni yetu wote hakuna mwenye nchi nyingine, kila mtu akiweza kuongea points wenye takwimu sahihi kama alivyoongea Kafulila itasaidia kuelimishana na kufanya maamuzi sahihi