mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Siasa na vyama ni imani. Muumini anayepingana nawe hana upeo mdogo wala akili finyu ila anaamini kwenye kile anachokijua. Kazi ni kwako wewe unayeona amepotea kumfanya akuelewe kwa kumuelimisha bila kumdharau, kumtusi wala kutumia nguvu.Kwa mwenye upeo Mdogo Akili finyu atamuona kafulila yupo sawa lakini kule kigoma wanamjua kafulila ni mbumbumbu juha zuzu ndiyo maana walimtosa kwenye kura za maoni, hakuna binadamu mwenye Akili timamu atamkubali Tumbili kafulila.
Siasa na dini vinahitaji uelewa na uvumilivu mkuu