David Kafulila amvaa Luhaga Mpina deni la Taifa

huyu kafulila amesahau yaliyomkuta bashe kuhusu sukari..mwenzie bashe alibishaga hivi hivi ila baada ya mpina kumwaga ushahidi tena kwa facts..sasa huyu nae anajitia kimbelembele wanataka kuvuliwa nguo sio..huyu mpina mpaka anasema hayo yaTrillion 7 ya mikopo haijaingia hazina imeliwa na wajanja labda mpina tayari ana ushahidi wake ilikopelekwa hiyo trillion 7 au labda iliingizwa akaunti binafsi ya mtu atakuwa anazo data zote za hiyo trilion 7..mpina haongei vitu nyeti kama hivyo bila kuwa na ushahidi au vielelezo pembeni ni suala la wahusika kujichanganya tu kutibua zigo la nyuki tufunuliwe yaliyo sirini..
 
Hesabu za deni au huo msaada unaingiaje kwenye kumbukumbu zetu. Au zinaingia kwenye kumbukumbu za mafisudi
 
Huyu jamaa ni taahira kuna hela ya mkopo inaweza kuingizwa serikalini bila ya kuwa registered kwenye ‘debt management office’ (DMO) iliyo wizara ya fedha.

Na kuna mkopo unaoweza ingia nchini wenye dhamana ya serikali bila ya idhini ya waziri wa fedha.

Utaahira wa huyu jamaa is beyond me, kutwa kujianzishia mada humu; na ma ID yake kujisifia ujinga wakati kichwani ni kiazi.

Hajui hata how government works ukimsikiliza ni ujinga mtupu; sema ndio hivyo tena uchawa unalipa hata kwa vichwa viazi kama Kafulila (just rubbish).

Kwenye kichwa chake kaandika vitu vya maana, wakati hajui hata taratibu za kurekodi madeni serikalini.
 

Ni mkopo au sio Mkopo? Hilo ndo la muhimu
 
Wewe ndio taahira wa kiwango Cha lami,

Kutwa kupinga kila kitu chema Cha Serikali,

Sasa mbona ulichokisema ndicho alichosema Kafulila?

Mpina anapotosha Umma kwa masilahi yake mwenyewe,

Sio pesa zote za Mkopo zinazoingizwa kwenye akaunti ya hazina ili liko wazi,

Hata WB na IMF mara nyingi wanalipa Mkandarasi directly,

Maana yake hizo pesa hazitapita hazina na ndicho anachokisema Mpina,

Ila Watanzania wajue hakuna Senti moja ya Mkopo imeliwa na mtu binafsi kwa matumizi binafsi
 
Hiyo kazi alipashwa kuifanya Mpina mwenyewe ili atujibu hiyo miradi iliyolipwa na mkopeshaji moja kwa moja ni ipi?

Mpina aache uchochezi na kuzua taharuki kwa Wananchi na Serikali
 
How stupid are you?

Go google majukumu ya DMO na kwanini kila wizara ya fedha duniani ina hiko kitengo duniani hata kwa nchi zilizoendelea.

Yaani uingize hela nchini, ziwe kwenye hesabu za deni la deni la taifa wizara aijui.

You must be very stupid
 
Kafulila ni mla rushwa haswa

Wewe ni UWT nakujua hakuna CHADEMA ambaye hana akili kama wewe
Wewe dada kuwa makini unaweza kufuatilia hii ID vizuri sio kukenua tu hapa, Kafulila anahoja lazima tuseme ukweli,
Kafulila anakataa upotoshaji na Uongo kama huu wa Mpina
Kafulila ni mtu anachukia rushwa sana hawezi kuitetea ila pia hataki mtu aonewe.
Mimi ni CHADEMA damu ila Kafulila namkubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…