ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kafulira hawezi fanya huo upuuzi Kwa sababu Mpina anahitani jibu la Jumla tuu la Elimu kwake na Kwa Umma.First things first mimi si fan wa Mpina wala Kafulila. Naangalia mantiki tu.
Suala la namba hujibiwa kwa namba.
Hata kama jibu la Kafulila lina ukweli, jibu limepwaya kwa sababu Mpina kaweka namba, ilitakiwa Kafulila naye aweke namba wakopeshaji wangapi wamepeleka fedha kiasi gani moja kwa noja kwenye miradi.
Kwa sababu, bila namba, jibu la Kafulila linaweza kuwa kweli, lakini tuhuma za Mpina bado zikawa na maana kama kuna gap kati ya fedha za wakopeshaji wanaopeleka fedha zao moja kwa moja kwenye miradi na figure ya Mpina.
Nimeeleweka?
Kwa nini Kafulila hajaweka namba? Ni mzembe? Kafulila si mzembe hivyo.
Hazipo? Namba muhimu kama hizi haziwezi kukosekana serikalini.
Anaficha kitu?
Kitu gani?