Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #101
Adani anamradi gani wa PPP hapa Tanzania?Yeye mwenyewe Kafulila ni dalali/Middle man/3rd part.
Dalali wa Adani group
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adani anamradi gani wa PPP hapa Tanzania?Yeye mwenyewe Kafulila ni dalali/Middle man/3rd part.
Dalali wa Adani group
Kuna chama Cha rushwa kama CHADEMA?Huwezi kuichukia rushwa ukiwa ndani ya mfumo wa serikali ya ccm. Hujitambui wewe. Viongozi na watendaji wote wa taasisi za umma ni wala rushwa. Ndiyo maana hata watumishi wa chini wote kwenye taasisi za umma wanapokea rushwa kwa kwenda mbele. Kafulila yeye ni nani? Au ni Malaika? Nchi zote duniani zilizofanikiwa kutokomeza au kwa kuipunguza rushwa to an acceptable level walitunga sheria kali ikiwemo na kifo kabisa. Rushwa haikemewi kwa matamko kama ya kina Samia na chawa wake, it's the process of judiciary reform and other government instruments.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kitu kimoja napenda toka kwa Kafulila anaweza akakukibu mpaka ukajiona huna akili kabisa,
Wewe ni kama nani hapo hazina?Wewe ndio taahira wa kiwango Cha lami,
Kutwa kupinga kila kitu chema Cha Serikali,
Sasa mbona ulichokisema ndicho alichosema Kafulila?
Mpina anapotosha Umma kwa masilahi yake mwenyewe,
Sio pesa zote za Mkopo zinazoingizwa kwenye akaunti ya hazina ili liko wazi,
Hata WB na IMF mara nyingi wanalipa Mkandarasi directly,
Maana yake hizo pesa hazitapita hazina na ndicho anachokisema Mpina,
Ila Watanzania wajue hakuna Senti moja ya Mkopo imeliwa na mtu binafsi kwa matumizi binafsi
Pesa za kuendeshea Singuda black stars zinatoka hazinaView attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
Wewe kichwa nazi kweli? Naomba utuoneshe hiyo miradi ya trillion 7 ambayo serkali imejenga au kufanya!Wewe ndio taahira wa kiwango Cha lami,
Kutwa kupinga kila kitu chema Cha Serikali,
Sasa mbona ulichokisema ndicho alichosema Kafulila?
Mpina anapotosha Umma kwa masilahi yake mwenyewe,
Sio pesa zote za Mkopo zinazoingizwa kwenye akaunti ya hazina ili liko wazi,
Hata WB na IMF mara nyingi wanalipa Mkandarasi directly,
Maana yake hizo pesa hazitapita hazina na ndicho anachokisema Mpina,
Ila Watanzania wajue hakuna Senti moja ya Mkopo imeliwa na mtu binafsi kwa matumizi binafsi
We kweli huna akili, ilitakiwa huyo tumbili wako atoe ushahidi wa hayo anayoyasema ili tujiridhishe kama ni kweli...hapo kaongea kiujumla ni rahisi kusema uongo!.Kitu kimoja napenda toka kwa Kafulila anaweza akakukibu mpaka ukajiona huna akili kabisa,
😀Nimecheka hiyo video mpaka machozi, hapa kweli tumepigwa kama huyo ndio waziri wetu wa fedha.
Salaleh
Kukibu ni kufanyaje mkuu au unamaanisha Kibu Denis yaani akakukandaKitu kimoja napenda toka kwa Kafulila anaweza akakukibu mpaka ukajiona huna akili kabisa,
Majibu yasiyokuwa na akili kabisa Ndio haya! Anaona Kila Mtanzania ni mjinga mjinga. Kwahiyo anathibitisha kwamba ni kweli serikali ya chama chake Ina matumizi mabaya ya fedha za mikopo na zile za wahisani! Kiasi kwamba hawaaminiki tena na jamaa wanaenda field Moja kwa Moja? What a wasteView attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
Huyu chawa ana jipya gani zaidi ya kutetea tumbo lake kwa waliomteua?View attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
MmhNimewaambia mara nyingi kwamba Mpina ni mzushi na ndio sababu hakuna mission yake yeyote iliyowahi faulu Toka aanze uzushi.
Alifanimiwa kumtikisa Bashe kidogo ila Kwa Nchemba ameshindwa vibaya.
Kwa namna yeyote Ile haiwezekani Waziri akakoa hela yote hiyo bila maelezo.
View attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
Tumbili v.Werema.Nyani ni nyani tu
Kumbe wakopeshaji hawawaamini wanajiua huwa mna piga pesa juu kwa juuKitu kimoja napenda toka kwa Kafulila anaweza akakukibu mpaka ukajiona huna akili kabisa,
Nani haelewi na haelewi nini?Mmh
Chini ya huyu mazeri wako lolote linawezekana...hata ye mwenyewe haelewi!.