David Kafulila amvaa Luhaga Mpina deni la Taifa

Kafulira hawezi fanya huo upuuzi Kwa sababu Mpina anahitani jibu la Jumla tuu la Elimu kwake na Kwa Umma.
 
Kafulira hawezi fanya huo upuuzi Kwa sababu Mpina anahitani jibu la Jumla tuu la Elimu kwake na Kwa Umma.
This logical fallacy is called ad hominem.

Hapa kuna hoja kubwa zaidi ya Mpina, lakini wewe hujaweza kuiona hoja umeishia kumuangalia Mpina.

Hapa kuna hoja ya uwajibikaji, uwazi, kuna uhasibu unatakiwa kunyooshwa.

Haya mazungumzo inawezekana kayaanzisha Mpina, lakini, ni mazungumzo ya kitaifa watu wote wanayaangalia.

Kwa hivyo, inabidi muangalie kujibu hoja na si kumjibu mtu.

Hoja ya namba hujibiwa kwa namba.

Jibu la Kafulila bado limepwaya kwa sababu halina namba.
 
Kafulila kageuka msemaji wa Serikali kuhusu madeni.
 
Mnachezeshwa Michezo ya ujinga wa siasa na wewe unadandia tuu.

Hivi Mpina amewambia kwamba Mkoani kwake Kuna mradi mkubwa wa Maji Kwa Fedha za Mkopo? πŸ‘‡πŸ‘‡



View: https://www.instagram.com/reel/DEwqeTlIiBu/?igsh=MTZibHVqcWlucXl2cA==
 
Kwa nini lisijibu? Mumeambiwa hela zinaenda kwenye miradi directly wewe unataka kujibiwa.

Mfano hata mradi wa Miji 28,India inatoa directly kwenye miradi maana wakandarasi ni WA kwake.
Hela zilizoenda directly kwenye miradi ni ngapi? Katoa nani? Zimeenda kwenye miradi gani?

Wekeni hesabu za hela hizo tulinganishe na hesabu za Mpina halafu tuone kama kuna gap.

Kwa sababu, inawezekana kuna hela zinaenda directly kwenye miradi lakini hazijafikia hizo alizosema Mpina. Hapo hoja ya Mpina bado itakuwa imesimama.

Usichoelewa nini?
 
Nani aanze kukifanyia hesabu hizo? Tunakupa miradi tuu eg πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DEstT-3oI2e/?igsh=ZjRpYWY2c2wzeHVk
 
Hizi taarifa zilitakiwa ziwekwe wazi kwenye website za hazina. Ujenzi. Trc ili kuondoa sintofahamu.
 
Weka hesabu, acha longolongo.
Waziri mhusika atakupa majibu wakati wa Bunge la Bajeti au mtag yupo humu akupe majibu ya mradi mmja baad ya mwingine Kwa thamani.

Mimi nakupa Baadhi ya miradi ambayo inafadhikiwa Kwa program za directly eg RISE ya World Bank kama unavyoona kazi inaendelea πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://x.com/TaruraTz/status/1884970360832999726?t=Z1L3QSbYF-Wkzzpaj-vwmA&s=19
View: https://x.com/TaruraTz/status/1884501913946726665?t=Wp64xE7bLKyn3B8_Lrs6vg&s=19
 

Kwa hiyo unatetea kitu ambacho hukijui unakwenda kama ng'ombe tu kwa kuamini waziri muhusika katika jambo ambalo hata hajalitolea ufafanuzi wa data?

This logical fallacy is called argument from authority.
 
Kafulila amekuwa muumini mzuri sana wa kutetea tetea madeni mpaka tunapata mashaka naye kwamba huenda ni mnufaika wa hayo mambo !
 
Hili jibu la kutudhalilisha kama Taifa. Yaani mtu anatukopesha kama nchi alafu aseme kuwa haniamini namna ninavyosimamia pesa, kweli??? Black people 🀣🀣🀣🀣 Yaani nchi za Africa unaweza kuomba viongozi wooote wajiuzulu
 
Mpaka muda huu kafulila alitakiwa awe amejiuzulu au kuachishwa kazi, waziri apigwe chini, waziri mkuu na rais wote wajiuzulu kwa kudhalilisha nchi
 
Kitu kimoja napenda toka kwa Kafulila anaweza akakukibu mpaka ukajiona huna akili kabisa,
Mwenye akili anaweka data na takwimu kamili asiye na akili anajibu kisiasa kama alivyojibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…