David Kafulila amvaa Luhaga Mpina deni la Taifa

Nimependa hapo alivyokiri baadhi ya wakopeshaji awamini serikali maana wala rushwa wengi sana.

Kafulila angesema ukweli serikali haiaminiki.
 
Ila Mpina amechanganyikiwa, Trilioni 7 bila kupitia hazina? Hayo ni makusanyo ya miezi mingapi. Jamaa ni mwongo
 
Hili jibu la kutudhalilisha kama Taifa. Yaani mtu anatukopesha kama nchi alafu aseme kuwa haniamini namna ninavyosimamia pesa, kweli??? Black people 🤣🤣🤣🤣 Yaani nchi za Africa unaweza kuomba viongozi wooote wajiuzulu
Hahahahaha ! Kisha wanakuja wa aina ile ile iliyojiuzulu au even worst ???!!
Hahahahaha !

Labda wakishajiuzulu waje Madikiteta Wakali kweli kweli na waadilifu sana !
Kisha iwe hakuna Uchaguzi wa Rais mpaka baada ya miaka 30 ila ubunge ufanyike kama kawaida kila baada ya miaka mitano ! 😳 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…