Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Mpina amechanganyikiwa, Trilioni 7 bila kupitia hazina? Hayo ni makusanyo ya miezi mingapi. Jamaa ni mwongoView attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
Hahahahaha ! Kisha wanakuja wa aina ile ile iliyojiuzulu au even worst ???!!Hili jibu la kutudhalilisha kama Taifa. Yaani mtu anatukopesha kama nchi alafu aseme kuwa haniamini namna ninavyosimamia pesa, kweli??? Black people 🤣🤣🤣🤣 Yaani nchi za Africa unaweza kuomba viongozi wooote wajiuzulu
Miradi mingi ya barabara imesimama hata ya km 5 nayo imesimama.Hakuna zaidi ya wizi na ujanja ujanja
Unaanzishaje taasisi nyingi nyingi ambazo majukumu yake yanafanana? hovyo kabisaMiradi mingi ya barabara imesimama hata ya km 5 nayo imesimama.