Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #181
Mheshimiwa Kafulila ni zawadi kwa Taifa letu.Kafulila ni mtu bora sana huo ndio ukweli na hakika Taifa hili linazo hazina za kutosha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa Kafulila ni zawadi kwa Taifa letu.Kafulila ni mtu bora sana huo ndio ukweli na hakika Taifa hili linazo hazina za kutosha sana.
Hata kwetu Songwe alipokuwa RAS alirudisha chenji ya Mradi ya TZS 2.4bil nakubaliana na Uadilifu wa KafulilaNdugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na watu japo hupo Duniani au madarakani.
Uongozi siyo habari ya umeongoza miaka mingapi au umekaa miaka mingapi. kinachomfanya mtu akakumbukwa na watu ni kazi alizozifanya kwa muda alipokuwa na madaraka au hai na faida ya uhai wake kwa watu na uongozi wake ulivyogusa maisha ya watu.
Ndio maana leo hii viongozi na watu kama John F Kennedy, Dr Martin Luther King Junior, BoB Marely, Abraham Lincolin wanaendelea kukumbukwa na watu wengi sana Duniani kwote licha ya kwamba walikufa miaka mingi na waliishi miaka michache Duniani kabla ya kufikia uzee wao. Ndio maana pia viongozi kama Edward Moringe Sokoine wanakumbukwa na Taifa letu japo walikaa madarakani kwa Muda mfupi lakini historia zao na majina yao yameganda na kunasa katika mioyo ya watanzania kutokana na mikono yao na kazi zao kugusa maisha ya watu na kuleta matokeo Chanya.
Hii maana yake nini? Unaweza kuongoza kwa miaka mingi, kukaa madarakani au kwenye cheo fulani kwa miaka mingi na bado usikumbukwe na yeyote yule pale ambapo utaondoka leo. Unaweza kuondoka leo kwenye ukuu wa mkoa au uwaziri au uwaziri mkuu au uspika au ukurugenzi wa taasisi fulani halafu kesho watu wakasahau kabisa kama ulikuwepo kwenye nafasi fulani. Kwanini? Kwa sababu uongozi wako na uwepo wako kwenye kiti haukugusa wala kubadilisha maisha ya watu au mtu yeyote yule, kwa hiyo ulikuwa kama mvuke au moshi tu ambao umekuja na kupita.
Mheshimiwa David Kafulila licha ya kukaa katika nafasi ya Ukuu wa mkoa Wa Simiyu kwa muda mfupi lakini bado anaendelea kukumbukwa na wana Simiyu kama mkuu wa mkoa aliyeleta tabasamu, furaha, matumaini na kuwainua kiuchumi kwa kupaisha Bei ya pamba yao ambayo kwa karibu 70% ya pamba yote Tanzania inatokea Simiyu kufikia bei ya 2200 kwa kilo, bei ambayo haikuwa kutokea tangia Nchi yetu ipate uhuru. Leo anakumbukwa na kusemwa kuwa hapa Simiyu kilipita na kulipita CHUMA David Kafulila aliyeleta Nuru kwa wakulima na maendeleo kwa kaya za wanasimiyu.
Jiulize wewe kiongozi uliyepo kwenye cheo fulani au wadhifa fulani ukiondoka leo kwenye nafasi uliyopo watu watakukumbuka kwa lipi? Umegusa maisha ya watu wangapi? Umeleta tabasamu kwa kaya ngapi? Wangapi wamepata nuru kutoka gizani? Wangapi wamepata matumaini kupitia mikono yako? Wangapi wanatamani urejee au urudishwe au uongezewe muda au kukuombea dua na maombi mema ya kurejea au kupata cheo kikubwa au nafasi fulani? Utakumbukwa kwa lipi ndugu yangu? Au unaisha na kufanya kazi ilimradi tu watoto wako wapate ugali mezani? Umebadilisha maisha ya wangapi?
Wangapi wanaona uwepo wako hapo ulipo ni baraka na mlango wa wao kutokea kimaisha na kuinuka kiuchumi? Wangapi wanakukumbuka kwa mema?
Gusa maisha ya watu, Leta tabasamu kwa watu,washa taa kwenye mioyo ya watu,inua watu,shika mikono ya watu uwainue juu,wape matumaini watu ili siku moja Ukumbukwe kama ilivyo kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,Nelson Mandela,kwame Nkrumah, Keneth Kaunda, Winnie Mandela na wengine wengi sana. Lakini pia ukifanya vyema utaungwa mkono ukiwa bado hai kama ilivyo kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Alirudishaje chenji?Hata kwetu Songwe alipokuwa RAS alirudisha chenji ya Mradi ya TZS 2.4bil nakubaliana na Uadilifu wa Kafulila
Alipewa pesa ili kujenga Makao Makuu ya Mkoa kama Ras baada ya kukamilisha majengo yale kwa BOQ elekezi akasaza 2.4 akamkabidhi Rais Magufuli.Alirudishaje chenji?
Haya maneno ni ya kweli? Hivi huyu jamaa ni Mshamba au ni Mzalendo na kwani Uzalendo ndio huu?Alipewa pesa ili kujenga Makao Makuu ya Mkoa kama Ras baada ya kukamilisha majengo yale kwa BOQ elekezi akasaza 2.4 akamkabidhi Rais Magufuli.
Kweli kabisa alifanya vyema sana. Nakumbuka mwaka 2020 wakati akisoma taarifa mbele ya waziri mkuu na kueleza kiasi walichookoa katika ile Billion 6 kwa kutumia Fosi akaunti .aliongea vizuri sana na bahati nzuri siku ile nilikuwepo pale ofisi za Mkoa zilizopo kata ya Mlowo Eneo la Nselewa. Tena kwa bahati nzuri nilikuwa karibu yake kabisa wakati anasoma taarifa,nilikuwa nimesimama jirani na Mhessimiwa David Silinde ambaye pia alipewa nafasi ya kuzungumza siku ile. watu wa Songwe wanamkubali sana Mheshimiwa Kafulila. Hata Soko la pale Mlowo ni yeye alihakikisha linakamilika kwa haraka na uharaka na kwa muonekano mzuri.hapo pia nilifanikiwa kumuona kwa karibu sana.siku hiyo alikuwa amekuja kukagua na kuangalia kaburi moja pale lililotakiwa kuhamishwa maana walizikaga wakati mji haujawa mkubwa. Kwa hiyo Mheshimiwa Kafulila namfahamu vyema kwa uchapa kazi wake..Hata kwetu Songwe alipokuwa RAS alirudisha chenji ya Mradi ya TZS 2.4bil nakubaliana na Uadilifu wa Kafulila
Hizo ni habari za ukweli kabisa. Huyu jamaa ni Mzalendo sana tena sana.Haya maneno ni ya kweli? Hivi huyu jamaa ni Mshamba au ni Mzalendo na kwani Uzalendo ndio huu?
Kama ni kweli 2.4bl chenji ila Kafulila kweli ni tatizo kwa wapigaji nadhani Viongozi wengine pia wajifunze hili.Hizo ni habari za ukweli kabisa. Huyu jamaa ni Mzalendo sana tena sana.
Hata huyu Makonda anafuata nyayo za Kafulila kule Arusha sijui wakuu wengine wa Mikoa wanafanya nini.Kama ni kweli 2.4bl chenji ila Kafulila kweli ni tatizo kwa wapigaji nadhani Viongozi wengine pia wajifunze hili.
Ni mtu aliyenyooka kama rula .hanaga habari za kupinda pinda.Kama ni kweli 2.4bl chenji ila Kafulila kweli ni tatizo kwa wapigaji nadhani Viongozi wengine pia wajifunze hili.
Nashukuru kwa mchango wako na hongera kwa siku ya kuzaliwa kwa Mahondaw wako.
Binafsi Sina mashaka na Kafulila hata kidogoNdugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na watu japo hupo Duniani au madarakani.
Uongozi siyo habari ya umeongoza miaka mingapi au umekaa miaka mingapi. kinachomfanya mtu akakumbukwa na watu ni kazi alizozifanya kwa muda alipokuwa na madaraka au hai na faida ya uhai wake kwa watu na uongozi wake ulivyogusa maisha ya watu.
Ndio maana leo hii viongozi na watu kama John F Kennedy, Dr Martin Luther King Junior, BoB Marely, Abraham Lincolin wanaendelea kukumbukwa na watu wengi sana Duniani kwote licha ya kwamba walikufa miaka mingi na waliishi miaka michache Duniani kabla ya kufikia uzee wao. Ndio maana pia viongozi kama Edward Moringe Sokoine wanakumbukwa na Taifa letu japo walikaa madarakani kwa Muda mfupi lakini historia zao na majina yao yameganda na kunasa katika mioyo ya watanzania kutokana na mikono yao na kazi zao kugusa maisha ya watu na kuleta matokeo Chanya.
Hii maana yake nini? Unaweza kuongoza kwa miaka mingi, kukaa madarakani au kwenye cheo fulani kwa miaka mingi na bado usikumbukwe na yeyote yule pale ambapo utaondoka leo. Unaweza kuondoka leo kwenye ukuu wa mkoa au uwaziri au uwaziri mkuu au uspika au ukurugenzi wa taasisi fulani halafu kesho watu wakasahau kabisa kama ulikuwepo kwenye nafasi fulani. Kwanini? Kwa sababu uongozi wako na uwepo wako kwenye kiti haukugusa wala kubadilisha maisha ya watu au mtu yeyote yule, kwa hiyo ulikuwa kama mvuke au moshi tu ambao umekuja na kupita.
Mheshimiwa David Kafulila licha ya kukaa katika nafasi ya Ukuu wa mkoa Wa Simiyu kwa muda mfupi lakini bado anaendelea kukumbukwa na wana Simiyu kama mkuu wa mkoa aliyeleta tabasamu, furaha, matumaini na kuwainua kiuchumi kwa kupaisha Bei ya pamba yao ambayo kwa karibu 70% ya pamba yote Tanzania inatokea Simiyu kufikia bei ya 2200 kwa kilo, bei ambayo haikuwa kutokea tangia Nchi yetu ipate uhuru. Leo anakumbukwa na kusemwa kuwa hapa Simiyu kilipita na kulipita CHUMA David Kafulila aliyeleta Nuru kwa wakulima na maendeleo kwa kaya za wanasimiyu.
Jiulize wewe kiongozi uliyepo kwenye cheo fulani au wadhifa fulani ukiondoka leo kwenye nafasi uliyopo watu watakukumbuka kwa lipi? Umegusa maisha ya watu wangapi? Umeleta tabasamu kwa kaya ngapi? Wangapi wamepata nuru kutoka gizani? Wangapi wamepata matumaini kupitia mikono yako? Wangapi wanatamani urejee au urudishwe au uongezewe muda au kukuombea dua na maombi mema ya kurejea au kupata cheo kikubwa au nafasi fulani? Utakumbukwa kwa lipi ndugu yangu? Au unaisha na kufanya kazi ilimradi tu watoto wako wapate ugali mezani? Umebadilisha maisha ya wangapi?
Wangapi wanaona uwepo wako hapo ulipo ni baraka na mlango wa wao kutokea kimaisha na kuinuka kiuchumi? Wangapi wanakukumbuka kwa mema?
Gusa maisha ya watu, Leta tabasamu kwa watu,washa taa kwenye mioyo ya watu,inua watu,shika mikono ya watu uwainue juu,wape matumaini watu ili siku moja Ukumbukwe kama ilivyo kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,Nelson Mandela,kwame Nkrumah, Keneth Kaunda, Winnie Mandela na wengine wengi sana. Lakini pia ukifanya vyema utaungwa mkono ukiwa bado hai kama ilivyo kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwahiyo walaumiwe CHADEMA?Unajua mamlaka aliyonayo Mkuu wa Mkoa?
Mkuu wa Mkoa ni Rais wa Mkoa,
Sasa kama Pamba ilitoka kuuzwa TZS 800 hadi 2,200 na Leo hayupo bei ni 1,000 why tusiamini Kuna uhuni kule wakulima wanafanyiwa?
CHADEMA ndio kitu gani?Jinga sn wewe, kwahiyo CHADEMA ndiyo walienda kuishusha?
Tulia wewe UWTCHADEMA ndio kitu gani?
Watanzania wengi sana hawana wasiwasi.Binafsi Sina mashaka na Kafulila hata kidogo
CHADEMA mnapokea mpaka rushwa ya Pombe duuu, Pole sana ndg yanguTulia wewe UWT