David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia

Wewe ni goon
 
Kafulila Amekua vocal sana!wanamwandaa Kwa lipi!

Halafu kumbe ana KADI ya nccr mageuzi kama hayati jpm!

The state mnatuandalia mtu tokea kule magharibi !!?

Tutampokea!
 
Mlipotengeneza bwawa la Rufiji mkasema umeme tutauza hadi nje mnachanganya sana wananchi 🤣🤣🤣
 
Well articulated. Katika mateso ambayo yapo kwa sasa ni kwa watu wenye uelewa. Ni torture mbaya sana things zinaenda kama headless chicken.
 
Hujitambui kabisa wewe.
Kama una ushawishi mkubwa adani mpeni chuma atengeneze yale high voltage extension machuma pia kiwanda cha nyaya na vifaa vya umeme. Chuma tunayo. Sio eye kuja kuweka nguzo za Mufindi. Eti wale jamaa wanaotukana aanze kuwaangalia. Transforma ikibuma mara saba si ataacha lindo au atatupiga mpaka tulie.
 
Huwezi kujifunza nje ya experience,hakuna kitu mwafrika atamshika maskio mzungu labda Husein Bolt pekee katika mbio fupi na kwa spidi.
Kwa sasa PPP ipo mikononi mwa kijana mzalendo,muadilifu na mwenye upendo wa dhati kwa Taifa letu Mheshimiwa David Kafulila
 
Kafulila Amelia vocal sana!wanamwandaa Kwa lipi!

Halafu kumbe ana KADI ya nccr mageuzi kama hayati jpm!

The state mnatuandalia mtu tokea kule magharibi !!?

Tutampokea!
Embu acha maneno ya kizushi na uongo uongo tu yenye lengo ya kumchafua Mwamba wa Kigoma Mheshimiwa David Kafulila
 
Em toa ujinga wako, bwawa limegharim t. 5.6, hatukuleta mwekezaji why distribution? Kwani tumeweza bwawa tushindwe distrbution? Mnataka mtuuzie unit moja kwa shngp? Mmeona mje kupigia kwenye kuuza umeme?
 
Serikali ya kijani inawezaga nini nchini? Wanatuvutia kasi tuu, na kituo kinachofuata ni SGR...
Yaani kwa akili zao wanafikiria Adani atafanya kazi kwa ufanisi kuliko REA!?! hawa viongozi sijui wana nn tu!??
 
Em toa ujinga wako, bwawa limegharim t. 5.6, hatukuleta mwekezaji why distribution? Kwani tumeweza bwawa tushindwe distrbution? Mnataka mtuuzie unit moja kwa shngp? Mmeona mje kupigia kwenye kuuza umeme?
Hapo yatakuja na mahesabu ya kijingajinga ilimradi tu yapate pesa kutoka kwenye mifuko ya watanzania! Kodi italipwa mara mbili, kutakuwa na tozo ya jengo na tozo za umeme!
 
Uchawi wa nini tena.soma andiko uone ufafanuzi mzuri uliotolewa na Mheshimiwa David Kafulila.
Hujaelewa maana ya hayo maneno. Serikali hailazimiki kuita kampuni nyingine kuleta maombi ya kufanya hilo jambo, kama hakuna ushindani ni hasara kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…