David Kafulila: Deni la Tanzania ukilinganisha na Mataifa mengine ya bara la Africa ni nafuu

Huyu tokea alivyo sifiwa Sasa umekuwa kero
 
Huyu KIMA anatuona sisi hamnaaazo, ndio shida ya mjinga kumkalia kimya, yaani mjinga akiongea ujinga kisha mwerevu akaamua kukaa kimya basi mjinga anajiona kakuweza kweli kweli.

Huu ukimya wetu ndio unawapa bichwa hawa WAPUMBAVU
Umeangalia lakini nchi zingine za Africa au unafoka bila sababu
 
Duh! Deni limekuwa nzuri tena!
 
Tumeanza kushindana kwa madeni nani zaidi?
 
Hakuna Nchi isiyokopa. Cha muhimu Mikopo ielekezwe katika madhumuni yaliyokusudiwa.
Tujifunze kukopa na kulipa kwa kumalizia awamu husika. Inachanganya kuambiwa tunalipa madeni ya toka Marehemu Nyerere alipokopa.


Nchi kama Togo Inakopa , Malawi Inakopa , Kenya inakopa na uchumi wao uko juu kuliko wa Tanganyika na Zanzibar .

sasa tulinganishe utajiri wa hizo nchi ni kama mbingu na Ardhi .
Tanganyika Inakopa ili inunue magari ya kifahari na Tumbili kama Kafulila waishi maisha ya kifahari kama vile wapo kwenye bustani ya Edeni wakati mamilioni ya Watangayika wana maisha magumu .
Mpaka sasa wagonjwa wa Figo wanakufa kwenye Hospitali za Umma kwa kukosa pesa za kufanyiwa dialysis wakati mashine zile zinanunuliwa kwa Kodi ya madini yetu ,gesi yetu ,wanyama wetu , bandari yetu milima yetu ,maziwa na samaki wetu , kodi zetu na kuuzwa kwa ardhi yetu . Hao wanaokufa haki na sehemu ya keki yao katika hizo rasilmali za Mungu muumba zlizotupa ni ipi ?

Heche namuona kama Dr.Martin Luther King Jr . Anawafungua Watanganyika macho. Kuna siku Huyu dalali wa nchi atapigwa mawe na mali zake zitachomwa moto mchana kweupe na atakosa pa kukimbilia .

Huwezi kulinganisha Tanganyika nchi ya Tatu duniani kwa kuwa na ardhi kubwa yenye dhahabu na amani na eneo kubwa la bahati na milima na mito na maziwa usilinganishe na nchi nyingine za kiafrika .

Tanzania shida sio mikopo kwa sababu tuna uwezo wa kulipa lakini Mafisadi na washirikina ndio wameshika nchi .
 
Akili za huyo mwanahabari na Kafulila zinawatosha wenyewe.

Sidhani kama wanajua reguirements za technical skills/knowledge ya mkurugenzi wa PPP in other words ‘asset manager’ wa taasisi za serikali.

Hiyo ni kwa uraisi, kwenda deep kwenye investment decision; sio wachangiaji wengi wa JF wenye uwezo wa kuona ujinga wa mtu wa Kafulila anao ongea.

To hell with social norms, someone has to tell the truth.

Shida yetu ni uwezo mdogo.
 
The nonsense

Huwezi jiandikia tu ujinga na kudhani ni hoja.

There are lines of reasoning, kama ni hoja ya PPP justify it in investment terms.

Hoja ya PPP ya Tanzania as nothing to do na upuuzi ulioandika.

Wewe na Kafulila, akili zenu wote sawa.

Someone has to tell you the truth “ukimeza ukitema, shauri zako”.

The nonsense, hivi ni elimu gani ambayo iliwaanda watu kama nyie ni sahihi kujiandikia vitu kutoka vichwani.

The nonsense I read in this forum is beyond me.

Uwezi kujiandikia vitu kutoka kichwani kama umesoma, it’s not allowed. You have to justify your point.

Ujinga ninaosoma humu salaleh.

Couldn’t care less the nonsense is too much.

Uwezi kuandika vitu kutoka kwenye upuuzi tu uliokichwani kwako. It’s allowed academically.

Ujinga mimi nakuchana iii utete hoja yako. Mnatabia ya kupongezana ujinga. That’s not how things work in the rest of the world.

Oh my god the nonsense
 
Kama deni la dunia nzima ni tirion 315 na sisi kama nchi deni ni tirion 97.
Na duniani kuna nchi 195
 


Wewe ni mqundu na i
umezaliwa kwa kunyewa kama mavi mqunduni na aliyekuzaa.
Pumbavu sana
 
Kama deni la dunia nzima ni tirion 315 na sisi kama nchi deni ni tirion 97.
Na duniani kuna nchi 195
Sampuli ya post za ujinga kama huu.

Una makusanyo sawa ya kodi na nchi zote, una sera sawa za riba, inflation control ya pesa (hivi unajua madhara ya inflation ya nchi kama US) kwa nchi na watu walionunua bonds zao za muda mrefu

Ulichoandika ni simplicity za akili za watanzania, mambo ni rahisi kama upuuzi ulioandika. Unadhani conditions za kulipa madeni za nchi yote zinafanana

Uwezi fananisha conditions za madeni ya zilizoendelea na nchi kama Tanzania.

Hata unajua tofauti ya nchi zenye madeni ya financial markets na nchi zenye madeni ya IMF/WB unadhani wana conditions na restrictions sawa.

Mnatabia ya kujiandikia ujinga ujinga tu, kutoka vichwani mwenu.
 
Wewe ni mqundu na i
umezaliwa kwa kunyewa kama mavi mqunduni na aliyekuzaa.
Pumbavu sana

Una uhuru wa kujifurahisha kwa matusi.

Lakini aikuondei uhalisia wa kwamba huna uelewa wa kujadili maswala ya uchumi.

Hata utukane vipi, point zako ni ujinga mtupu.

Huna uelewa kujenga hoja za uchumi, maandishi yako ni ujinga mtupu.

Ndio ukweli huna huo uelewa, umeandika ujinga tu kutoka kichwani kwako.

I can prove your nonsense, if you wish.

Huko tayari nikuonyeshe, wewe ni taahira tu na point zako ni ujinga mtupu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…