Tumefikia kulinganishana kwenye ujinga tena.View attachment 3288550
==
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi.
Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la Tanzania ambalo ni Sh. trilioni 97 ni himilivu kwa uchumi wa Tanzania.
Amesema takwimu za Oktoba mwaka 2024 za IMF zilionesha kuwa deni la dunia limefika zaidi ya Dola Marekani trilioni 315 wakati uchumi wa dunia ukiwa Dola trilioni 110 ambako ni mara tatu ya uchumi wa duniani.
Adiha, amefafanua kuwa deni la dunia ndani yake kuna deni la sekta binafsi zaidi ya Dola trilioni 164, deni la kaya ambalo n idola trilioni 48 na deni la serikali trilioni 102 ambalo ni zaidi ya asilimia 90 ya uchumi.
“Kwa Afrika deni la serikali kwa uchumi ni takribani asilimia 57 kwa Tanzania ni takribani asilimia 47, deni linaongezeka ndio lakini ukifanya malinganisho kuna tofauti kubwa kati ya ukuaji wa deni letu kwa uchumi.
“Rwanda deni limefikia asilimia 71 ya uchumi, Kenya 70, Uganda 54, Malawi 84, Msumbiji 76 na Namibia 67,nchi nyingi zinakabiliwa na shida kubwa ya deni lakini sababu kubwa ni serikali kutaka kukidhi matarajio ya watu kwa kuwapa huduma za maji, umeme, afya na Barabara.”
Amesema mahitaji ya wananchi ndio msingi wa madeni kuongezeka jambo linalofanya agenda ya ubia kati ya serikali na sekta binafsi kuzidi kupata umuhimu kubwa, ili serikali ipunguze majukumu kwenye maeneo ambayo sekta binafsi inaweza kufanya.
Aidha, amesema kwa kushirikisha sekta binafsi mana yake kidogo kinachookolewa na serikali kinatekeleza miradi ambayo sekta binafsi haiwezi kuingia ubia, huku akitolea mfano wa kutoa elimu, lishe na afya kwa kaya maskini ambazo ndio nguzo ya kujenga raslimali watu.
“Raslimali watu ndio sarafu kubwa duniani, ukiwa na watu wengi maskini ukitaka wawe na ubora unahitaji kuwekeza kwenye afya, elimu na lishe yao, sasa utaitoa wapi wakati kidogo hicho ukawekeze kwenye bandari, barabara na reli.Ubia unapunguza ushindani na kuipa nafasi serikali ikawezeke huko ambako hakuna mvuto kwa sekta binafsi kuwekeza,”amefafanua.
Kwa mujibu wa Kafulila, ubia kwenye maeneo ambayo sekta binafsi inaweza kuwa na mvuto kama Barabara, reli. Fedha ambayo ingewekezwa huko inakwenda kwneye huduma za kijamii kwa kuziboresha ili wenye kipato duni kuzipata.
“Ubia unavuta mitaji kutoka sekta binafsi kuweza kuifanya serikali itekeleze miradi bila kutumia fedha yake, ili iokoe hiyo fedha ikaelekezwe maeneo ambayo hayawezi kuwa na mvuto ambayo ni msingi mkubwa kujenga mchumi wenye ushindani na watu wenye ushindani,”amesema.
Kadhalika, amesema mbia akiambia awekeze sehemu isiyo na mvuto kibiashara, hawezi kuwekeza na kwamba atawekeza baada ya kupima na ndio maana hospitali na shule za sekta binafsi zimejengwa maeneo ambayo wananchi watamudu.
“Ila ambao hawana uwezo ni sehemu ya watanzania lazima wapte huduma muhimu kwa wananchi wake, kwa kutumia mtaji wa sekta binafsi inaweza kutekeleza huduma muhimu za kijamii,”amesema.
Amesema ubia ni mkataba wa muda mrefu ambayo mamlaka za serikali zinasaini kwa ajili ya kufanya sekta binafsi itekeleze jukumu lake la kutekeleza miundombinu na huduma mbalimbali.
Lakini serikali inamuita sekta bianfsi kwa mkataba maalum na makubaliano ili atekeleze mradi huo, ambao unakuwa ni ubia kati ya serikali na sekta binafsi ambako kuna mslahi ya pande zote.
“Kwanini tunakuwa na ubia? kuna kwasababu tatu ambazo ni tunataka kuvuta mtaji wa sekta binafsi kufanya majukumu ya serikali, kuvuta teknolojia kwasababu uzoefu unaonyesha sekta binafsi imepiga hatua kuliko serikali, na tatu ni kuleta weledi kwneye menejimenti ambacho kwneye sekta binafsi kipo mbele kuliko serikalini,”amesema.
View: https://www.youtube.com/watch?v=anBdPMBDzGY
Huyu naye tangu asilimu amekuwa tapeli sana.Anaongea tu kama hana magego.View attachment 3288550

KUBWA LA MACHAWA, kama sio TUMBILI mwenyewe 🤣🤣🤣😅😅 Mkimbizi mwenye Uraia wenye shaka anapigiwa upatu!!!😅😅😅🤣🤣🤣 Tuna kazi kubwa na ndefu kama Taifa!!Mwamba Sana huyu
Hata kama, ndo hela ilioie magoli ya mama na kukipa machawa kwenda Kizimkazi Festival?View attachment 3288550

Kafulila anajuwa kuliko wewe bwege. Acha dharau kajibu hoja zake
View: https://m.youtube.com/watch?v=iEpJwprxDdk
Bloomberg live
Kwanza kuelewa wanachoongea hapo lazima uwe na abc za accounts, MBA, banking economics, stock markets, investment na general finance decisions; vinginevyo unatoka kapa kwenye hiyo TV.
Ni ngumu kwetu kuelewa nafasi ya Kafulila, wakati hana techno skills ya sehemu yeyote on paragraph yeyote huko.
It’s not easy
Ni rahisi kwa sababu kuna wajinga wanadhani ni raisi
Naunga Mkono hoja. Tuamue Tutumie parachichi ama maembe.Mkuu hiyo hesabu yako hapo umechanganya parachichi na maembe kwa pamoja. Hiyo 97 ya TZ iko interms of shillings, wakati hiyo 315 ya dunia ni dollars $. Ili upate jibu sahihi badili unit ziwe sawa, either zote ziwe TZS au zote ziwe USD $.
Kwa mujibu wa Ibara 8(1) ya KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA vipengele vifuatavyo vinasema hiviNi lini ndugu maisha yamewahi kuwa mepesi Tanzania? Usipojishughulisha hizi fursa zitakupita tu, utabakia kupika MAJUNGU tu hapa.
Hakuna Rais atakayekuwekea hela mfukoni, bali ni wewe mwenyewe kujishirikisha kwenye shughuli za uchumi
Acha ku muover rate TUMBILI, labda anajua kuliko wewe binafsi sio wengine 🤔🤔🤔Kafulila anajuwa kuliko wewe bwege. Acha dharau kajibu hoja zake
Sikuhizi nimeamua kuwatwanga tu.
Halafu wakitoka hapo wanalaumu wazungu.
Ukisoma asilimia kubwa ya michango ya jukwaa la siasa ni ujinga wa fikra tu. Hawa watu is beyond me.
Shida kubwa zaidi ni hii dhana ya ku evaluate situation kutokana fikra za kichwani, sasa huko shule wamesoma nini; even independently,
Ooh my god, these people thinking.
Binafsi nikishapiga chupa langu la JD sina muda wa ku-entertain feelings zao. Nawapa tu dawa yao sinaga muda wa kusingiliza ujinga nikiwa kwenye zone.
Ujinga wa mada za hili jukwaa, unaakisi; umaskini wetu (uwezo).
Many people are so shallow.
Don’t care about people’s feelings at times.
Una uhuru wa kujifurahisha kwa matusi.
Lakini aikuondei uhalisia wa kwamba huna uelewa wa kujadili maswala ya uchumi.
Hata utukane vipi, point zako ni ujinga mtupu.
Huna uelewa kujenga hoja za uchumi, maandishi yako ni ujinga mtupu.
Ndio ukweli huna huo uelewa, umeandika ujinga tu kutoka kichwani kwako.
I can prove your nonsense, if you wish.
Huko tayari nikuonyeshe, wewe ni taahira tu na point zako ni ujinga mtupu?
Kwa mujibu wa Ibara 8(1) ya KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA vipengele vifuatavyo vinasema hivi
(b) Lengo KUU la serikali litakuwa ni USTAWI wa wananchi
(c) Serikali ITAWAJIBIKA kwa wananchi
Suala la kuhakikisha maisha ni mepesi ni suala la msingi kwa serikali yoyote ambayo "inawajibika" kweli kwa wananchi wake. Sio suala la kuomba.
Wanasahau kabisa kuwa Ibara ya 27 (2) inasema kuwa "Watu wote watatakiwa na sheria kutunza vizuri Mali ya mamlaka ya nchi na ya pamoja, kupiga vita aina zote za uharibifu na ubadhirifu, na kuendesha uchumi kwa makini kama watu ambao ndio waamuzi wa hali ya baadae ya taifa lao"Yaani hii nchi ina wapumbavu wengi sana .Yaani hawajui kuwa rasilimali za asili kazi yake sio kujenga barabara peke yake bali ni kuhakikisha kila mtu anapata share yake ili aishi hata kama ni kichaa. Kuna watu wanadhani hizi rasilimali zote ni za Watawala peke yao na familia zao ndio maana watu wanawaona kama miungu watu.
naona tumbili sahii katulia zake anakula tu kivulini na kubeuaView attachment 3288550
==
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi.
Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la Tanzania ambalo ni Sh. trilioni 97 ni himilivu kwa uchumi wa Tanzania.
Amesema takwimu za Oktoba mwaka 2024 za IMF zilionesha kuwa deni la dunia limefika zaidi ya Dola Marekani trilioni 315 wakati uchumi wa dunia ukiwa Dola trilioni 110 ambako ni mara tatu ya uchumi wa duniani.
Adiha, amefafanua kuwa deni la dunia ndani yake kuna deni la sekta binafsi zaidi ya Dola trilioni 164, deni la kaya ambalo n idola trilioni 48 na deni la serikali trilioni 102 ambalo ni zaidi ya asilimia 90 ya uchumi.
“Kwa Afrika deni la serikali kwa uchumi ni takribani asilimia 57 kwa Tanzania ni takribani asilimia 47, deni linaongezeka ndio lakini ukifanya malinganisho kuna tofauti kubwa kati ya ukuaji wa deni letu kwa uchumi.
“Rwanda deni limefikia asilimia 71 ya uchumi, Kenya 70, Uganda 54, Malawi 84, Msumbiji 76 na Namibia 67,nchi nyingi zinakabiliwa na shida kubwa ya deni lakini sababu kubwa ni serikali kutaka kukidhi matarajio ya watu kwa kuwapa huduma za maji, umeme, afya na Barabara.”
Amesema mahitaji ya wananchi ndio msingi wa madeni kuongezeka jambo linalofanya agenda ya ubia kati ya serikali na sekta binafsi kuzidi kupata umuhimu kubwa, ili serikali ipunguze majukumu kwenye maeneo ambayo sekta binafsi inaweza kufanya.
Aidha, amesema kwa kushirikisha sekta binafsi mana yake kidogo kinachookolewa na serikali kinatekeleza miradi ambayo sekta binafsi haiwezi kuingia ubia, huku akitolea mfano wa kutoa elimu, lishe na afya kwa kaya maskini ambazo ndio nguzo ya kujenga raslimali watu.
“Raslimali watu ndio sarafu kubwa duniani, ukiwa na watu wengi maskini ukitaka wawe na ubora unahitaji kuwekeza kwenye afya, elimu na lishe yao, sasa utaitoa wapi wakati kidogo hicho ukawekeze kwenye bandari, barabara na reli.Ubia unapunguza ushindani na kuipa nafasi serikali ikawezeke huko ambako hakuna mvuto kwa sekta binafsi kuwekeza,”amefafanua.
Kwa mujibu wa Kafulila, ubia kwenye maeneo ambayo sekta binafsi inaweza kuwa na mvuto kama Barabara, reli. Fedha ambayo ingewekezwa huko inakwenda kwneye huduma za kijamii kwa kuziboresha ili wenye kipato duni kuzipata.
“Ubia unavuta mitaji kutoka sekta binafsi kuweza kuifanya serikali itekeleze miradi bila kutumia fedha yake, ili iokoe hiyo fedha ikaelekezwe maeneo ambayo hayawezi kuwa na mvuto ambayo ni msingi mkubwa kujenga mchumi wenye ushindani na watu wenye ushindani,”amesema.
Kadhalika, amesema mbia akiambia awekeze sehemu isiyo na mvuto kibiashara, hawezi kuwekeza na kwamba atawekeza baada ya kupima na ndio maana hospitali na shule za sekta binafsi zimejengwa maeneo ambayo wananchi watamudu.
“Ila ambao hawana uwezo ni sehemu ya watanzania lazima wapte huduma muhimu kwa wananchi wake, kwa kutumia mtaji wa sekta binafsi inaweza kutekeleza huduma muhimu za kijamii,”amesema.
Amesema ubia ni mkataba wa muda mrefu ambayo mamlaka za serikali zinasaini kwa ajili ya kufanya sekta binafsi itekeleze jukumu lake la kutekeleza miundombinu na huduma mbalimbali.
Lakini serikali inamuita sekta bianfsi kwa mkataba maalum na makubaliano ili atekeleze mradi huo, ambao unakuwa ni ubia kati ya serikali na sekta binafsi ambako kuna mslahi ya pande zote.
“Kwanini tunakuwa na ubia? kuna kwasababu tatu ambazo ni tunataka kuvuta mtaji wa sekta binafsi kufanya majukumu ya serikali, kuvuta teknolojia kwasababu uzoefu unaonyesha sekta binafsi imepiga hatua kuliko serikali, na tatu ni kuleta weledi kwneye menejimenti ambacho kwneye sekta binafsi kipo mbele kuliko serikalini,”amesema.
View: https://www.youtube.com/watch?v=anBdPMBDzGY
Unatumia kipimo gani kudai kuwa Serikali haitimizi matakwa ya hiyo ibara ya 18 (1) (b)?Kwa mujibu wa Ibara 8(1) ya KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA vipengele vifuatavyo vinasema hivi
(b) Lengo KUU la serikali litakuwa ni USTAWI wa wananchi
(c) Serikali ITAWAJIBIKA kwa wananchi
Suala la kuhakikisha maisha ni mepesi ni suala la msingi kwa serikali yoyote ambayo "inawajibika" kweli kwa wananchi wake. Sio suala la kuomba.
Mkuu nina MBA ya Corporate Governance. Undergraduate nimesoma Accounting & Finance, Economics nimesoma kama elective.Acha ku muover rate TUMBILI, labda anajua kuliko wewe binafsi sio wengine 🤔🤔🤔