David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

Hapa hoja ni kukopa tu regardless currency Cha kuzingatia ni Value for money
 
Hapa hoja ni kukopa tu regardless currency Cha kuzingatia ni Value for money

Ndio maana nikakwambia haya mambo ni makubwa kuweza kuongelewa kiwepesi tu na kina Minde.

Analinganisha na USA.... hajaongelea kuhusu interest rate ambazo serikali ya US inalipa FYI 4.5% kwa miaka 30, Bond auction ya wiki hii TZ Gov inatoa interest ya 12.5% kwa miaka 2.

Again, hizi topic ziko juu ya uwezo wa Watanzania wengi kujadili. Tuendelee na Diamond na Zuchu
 
Kukopa sio jambo la afya
 
Eti tuendelee na Diamond na Zuchu
 
Lakini hoja yake inabaki pale pale kwamba USA pia wanakopa na Wana Rasilimali nyingi zaidi kuliko Tanzania kama sijakosea
 
Lakini hoja yake inabaki pale pale kwamba USA pia wanakopa na Wana Rasilimali nyingi zaidi kuliko Tanzania kama sijakosea
Majority ya serikali duniani zinaendeshwa kwa mikopo. Ni kawaida kabisa, issue ni kulinganisha Marekani na Tanzania kwenye kukopa tu. Hata Mzize na Mbappe wote ni wacheza mpira, lakini huwezi ukasema tu kwa sababu Mbappe amenunua Bugatti na Mzize afanye hivyo hivyo!

Ni uvivu wa kufikiria na kurahisha mambo magumu
 
sawa wanakopa, sasa kati yetu na yao nani ombaomba?

point za kitoto sana
 
Nasisitiza jamaa sio raia
 
Hamna anayekataa Serikali isikope lakini tunachokataa ni kutumia pesa za mkopo kwenye mambo yasiyo na tija kwa taifa kama ambavyo Serikali ya CCM inafanya
 
 
Namwelewa sana jamaa ila Uraia
 
Lakini naona dalili za WB & IMF kukacha kuikopesha Africa kama misimamo ya Mzee Trump itabaki ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…