CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #121
Hukuona Ile press ya dada yako analalamika ARVs atapata wapi?Nyie UWT mnajitoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuona Ile press ya dada yako analalamika ARVs atapata wapi?Nyie UWT mnajitoa?
Hapa hoja ni kukopa tu regardless currency Cha kuzingatia ni Value for moneyTatizo la watu wa aina ya Kafulila, ni kurahisisha mambo magumu; na bahati mbaya wanakutana na waandishi wa habari ambao ni lightweight.
Shida ni currency gani unakopea....
USA anakopa kwa Dola, ambayo ni pesa yake.... wewe unakopa kwa Dola ambayo sio pesa yako.
UWT mnakata viuno wenzetu wanapiga pesa nyie mnabaki na upumbavu wenu, mshahara wenu ni pombe na nyama + ngono.Hukuona Ile press ya dada yako analalamika ARVs atapata wapi?
Mambo ya BAWACHA ya Mbowe hayo😆😆UWT mnakata viuno wenzetu wanapiga pesa nyie mnabaki na upumbavu wenu, mshahara wenu ni pombe na nyama + ngono.
Wenzenu wana maghorofa na maisha mazuri nyie mnaambuliwa pombe, nyama na ngono sababu ya ujinga wenu.Mambo ya BAWACHA ya Mbowe hayo😆😆
Hapa hoja ni kukopa tu regardless currency Cha kuzingatia ni Value for money
Ila wewe jamaa tangu Lissu ashinde umekuwa mpole sana bwana YerickoWenzenu wana maghorofa na maisha mazuri nyie mnaambuliwa pombe, nyama na ngono sababu ya ujinga wenu.
Kukopa sio jambo la afya===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo alisema "Kiuchumi na Kibiashara huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kukopesheka ili mtu au taasisi ikopeshwe kwa masharti mazuri Lazima awe vizuri Kiuchumi hii ni Sayansi ipo kuanzia ngazi ya familia mpaka Ile ya Serikali" alisema Bwana David Kafulila.
Tanzania imepimwa kwa vigezo vyote ukianzia na vile vya World Bank, IMF na hata taasisi za credit rating kama Moody's na Fitch wote wanasema Tanzania deni lake ni himilivu na stahimilivu ndio maana hakuna siku Serikali itaacha kukopa hata Marekani, China, Urusi na Japani wote hawa wanakopa alisisitiza Kafulila.
China Taifa lenye dhahabu nyingi kuliko Taifa lolote Dunia inakopa, Urusu yenye gesi nyingi duniani nayo inakopa Marekani yenye utajiri wa Mafuta duniani nayo inakopa mtu anayesema Tanzania tunarasilimali hivyo tusikope ukweli ni kwamba Tanzania hatuna rasilimali zote zote kuyapiku hayo mataifa lakini na wao wanakopa tatizo sio kukopa labda tatizo liwe unakopa kwaajili ya kufanya nini ila kukopa ili kujenga miradi ya Maendeleo ndio haswa tunapashwa kuendelea kukopa- alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC-Tanzania.
Sasa msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3226348
===
Eti tuendelee na Diamond na ZuchuNdio maana nikakwambia haya mambo ni makubwa kuweza kuongelewa kiwepesi tu na kina Minde.
Analinganisha na USA.... hajaongelea kuhusu interest rate ambazo serikali ya US inalipa FYI 4.5% kwa miaka 30, Bond auction ya wiki hii TZ Gov inatoa interest ya 12.5% kwa miaka 2.
Again, hizi topic ziko juu ya uwezo wa Watanzania wengi kujadili. Tuendelee na Diamond na Zuchu
Ni swala la muda tu😂😂Hebu ifanyie research akaunti yangu uone kama iñaharufu ya UCCM
Lakini hoja yake inabaki pale pale kwamba USA pia wanakopa na Wana Rasilimali nyingi zaidi kuliko Tanzania kama sijakoseaNdio maana nikakwambia haya mambo ni makubwa kuweza kuongelewa kiwepesi tu na kina Minde.
Analinganisha na USA.... hajaongelea kuhusu interest rate ambazo serikali ya US inalipa FYI 4.5% kwa miaka 30, Bond auction ya wiki hii TZ Gov inatoa interest ya 12.5% kwa miaka 2.
Again, hizi topic ziko juu ya uwezo wa Watanzania wengi kujadili. Tuendelee na Diamond na Zuchu
Majority ya serikali duniani zinaendeshwa kwa mikopo. Ni kawaida kabisa, issue ni kulinganisha Marekani na Tanzania kwenye kukopa tu. Hata Mzize na Mbappe wote ni wacheza mpira, lakini huwezi ukasema tu kwa sababu Mbappe amenunua Bugatti na Mzize afanye hivyo hivyo!Lakini hoja yake inabaki pale pale kwamba USA pia wanakopa na Wana Rasilimali nyingi zaidi kuliko Tanzania kama sijakosea
Mimi siyo Yericko koma brotherIla wewe jamaa tangu Lissu ashinde umekuwa mpole sana bwana Yericko
Nasisitiza jamaa sio raia===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo alisema "Kiuchumi na Kibiashara huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kukopesheka ili mtu au taasisi ikopeshwe kwa masharti mazuri Lazima awe vizuri Kiuchumi hii ni Sayansi ipo kuanzia ngazi ya familia mpaka Ile ya Serikali" alisema Bwana David Kafulila.
Tanzania imepimwa kwa vigezo vyote ukianzia na vile vya World Bank, IMF na hata taasisi za credit rating kama Moody's na Fitch wote wanasema Tanzania deni lake ni himilivu na stahimilivu ndio maana hakuna siku Serikali itaacha kukopa hata Marekani, China, Urusi na Japani wote hawa wanakopa alisisitiza Kafulila.
China Taifa lenye dhahabu nyingi kuliko Taifa lolote Dunia inakopa, Urusu yenye gesi nyingi duniani nayo inakopa Marekani yenye utajiri wa Mafuta duniani nayo inakopa mtu anayesema Tanzania tunarasilimali hivyo tusikope ukweli ni kwamba Tanzania hatuna rasilimali zote zote kuyapiku hayo mataifa lakini na wao wanakopa tatizo sio kukopa labda tatizo liwe unakopa kwaajili ya kufanya nini ila kukopa ili kujenga miradi ya Maendeleo ndio haswa tunapashwa kuendelea kukopa- alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC-Tanzania.
Sasa msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3226348
===
Hamna anayekataa Serikali isikope lakini tunachokataa ni kutumia pesa za mkopo kwenye mambo yasiyo na tija kwa taifa kama ambavyo Serikali ya CCM inafanya===

Mama mitano tena
Namwelewa sana jamaa ila Uraia===

Lakini naona dalili za WB & IMF kukacha kuikopesha Africa kama misimamo ya Mzee Trump itabaki ilivyo===