David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni

Ni mfumo sahihi na tumechelewa sana "A road toll system is a way to charge a fee for the use of a public or private road, also known as a tollway or turnpike. Tolls are typically used to help pay for the construction and maintenance of roads"
 
Kafulila kagombee Ubunge utanishukuru
 
Kauli inayoashiria serikali haina mpango wa kuboresha huduma za jamii ila ina mpango wa kupigia debe huduma za wawekezaji
 
Mabasi yote ya abiria kwenda mikoani yatahamia huko.
 
Kafulila anajua sana kushawishi watu
 
Ajabu sana,Yaani barabara itekelezwe ka kodi zetu halafu tulipie.
Serikali haina hela inawaalika wenye hela wajenge barabara za ziada za kulipia. Hii itapunguza gharama kwa serikali ili iweze kupeleka hela zaido TANROAD na TARURA. Wazo ni zuri kama likisimamiwa vema!!
Mimi namuunga mkono TAL uwenyekiti!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…