Mimi nimekulia katika familia yenye ''kadi ya kijani'' hata baba alikuwa kiongoz daraja la kati katika hii jamii ya kijani na njano, but sikuwahi enjoy kabisa maisha inside of it, ok turudi kwenye hoja... kuanzishwa kwa hii barabara ni ubaguzi kwa wananchi kwa xababu ya tofauti za kiuchumi na ikizingatiwa 100% ya watanzania ni maskini., kingine ni kwamba kwakuwa wabunge wamekosa weledi katika kuwakilisha wanachi wao pale kwenye round about yenye koki, ni bora upatikane mfumo wa maoni toka kwa raia mmojammoja katika majimbo ili kinacholetwa na serikali kiweze kujadiliwa na wananchi kwanza mana hawa ma MP wetu wanakubaliana na ajenda kibao kwa ajili ya storage zao. why nasema hvo? hakuna mwanachi wa kukubaliana and this kind of stupids kabisa. Hebu tujaribuni kuangalia tiba. SO SAD!!